No orchid for Ms. Wema Sepetu

Upinzani hawana la kusaidia nchi hata uhalifu wanautetea kwali hawa ndio walaji haswaaaa
mkuu mharifu mahakama pekee imepewa jukumu la kumtangaza sio police/makonda...mtuhumiwa ana haki zake kabla hajapelekwa mahakamani.utawala huu hauzijari haki zao.
 
Afadhali anayehukumiwa ni mwana ccm,angekuwa wa chama chetu cha gia nyingi nyingi tungesema mengi.
 
wema alijua kuw kujibana na ccm ndo mambo take yatakaa sawa sasa hivi ccm imebadilika hawataki ujinga tena ila bado manguli wa unga wamo ndani ya chama ndo maana hata kina wema wakawa wanakimbilia huko
 
Mimi nachojua ni kwamba wauza dawa za kulevya ndio wafadhili wakuu wa CCM. Sasa je, ni kweli mnakusudia kuhangaika nao wote au wengine mtawapotezea?
 
Naona wewe ndiye unayeleta utumbo, kwa nini usijibu hoja kwa hoja
 
Aisee makonda amenifurahisha sana. Yaani kwa mara ya kwanza naanza kuielewa CCM sasa na kuikubali kiaina. Yaani hafagiliwi mtu mzee usawa huu..

Safi sana makonda.

Jamani ikitokea makonda akagombea uraisi am on his side
 
Mimi nachojua ni kwamba wauza dawa za kulevya ndio wafadhili wakuu wa CCM. Sasa je, ni kweli mnakusudia kuhangaika nao wote au wengine mtawapotezea?
mkuu mpaka pale hawajakamata wala kutaja wauza unga nguli.wametaja wasanii mateja au wasambazaji wadogo kama kweli.
 
Aisee makonda amenifurahisha sana. Yaani kwa mara ya kwanza naanza kuielewa CCM sasa na kuikubali kiaina. Yaani hafagiliwi mtu mzee usawa huu..

Safi sana makonda.

Jamani ikitokea makonda akagombea uraisi am on his side
Mkuu waliotajwa hakuna mnufaika wa hizo dawa.wote wamepanga nyumba wengine wanaishi kwa wazazi wao.wale maconcord wa hiyo biashara hawajatajwa bado.pia swala sio kutaja.peleka mahakamani kama una ushaidi
 
Kwahiyo wewe unaona kuikampenia ccm ni justification ya kula au kuuza ngada??? Na una maanisha ni afadhari angefanikisha Lowasa aingie madarakani kwasababu asingeisoma namba Na angeendelea kuuza Na kutumia ngada??
Huu upinzani ni hovyo kabisa!!
Umeelewa alichoongea mleta mada au umekurupushwa.Wema hauzi unga Wema anauza papuchi Ukawa tunacheka sana kihere here cha Wema kwisha chote
 
mkuu mpaka pale hawajakamata wala kutaja wauza unga nguli.wametaja wasanii mateja au wasambazaji wadogo kama kweli.
Na ndicho kilichokiona pia. Wanatuchezea akili tu. Hata hao kina Wema wataachiwa tu kwa sababu hawana ushshidi. Makonda anssema wametajwa! Sasa utawapeleka mahakamani kwa ushahidi gani? Hearsay?
 
Mkuu waliotajwa hakuna mnufaika wa hizo dawa.wote wamepanga nyumba wengine wanaishi kwa wazazi wao.wale maconcord wa hiyo biashara hawajatajwa bado.pia swala sio kutaja.peleka mahakamani kama una ushaidi
Maconcord ili kuwakamata inabidi kuanzia chini kabisa. Ili kuwa na ushahidi uliojitosheleza na ili kuwaweka hatiani.

Huu ni mwanzo mzuri. Wacha wahojiwe. Wao ndio watatupeleka huko kwa hao mababa zao..

Big up makonda. Keep going brother
 
Naona wewe ndiye unayeleta utumbo, kwa nini usijibu hoja kwa hoja
mkuu takwimu zinaonyesha kati ya watanzania kumi wanne ni machizi huna haja ya kujibu wachangiaji kama huyo bwana hajitambui msamee buree.
 
Maconcord ili kuwakamata inabidi kuanzia chini kabisa. Ili kuwa na ushahidi uliojitosheleza na ili kuwaweka hatiani.

Huu ni mwanzo mzuri. Wacha wahojiwe. Wao ndio watatupeleka huko kwa hao mababa zao..

Big up makonda. Keep going brother
umeongea point sana.lakini huna habari kuwa drug dealer hawataji mtu.hata ukitajwa unga huna utafungwa? pia unajua mtuhumiwa ana haki ya kukaa kimyaa?
 
Angeshikwa Roma mungedai wapinzani wanaonewa,CCM na serikali yake haionei mtu bali hufuata haki,watu wa Ufipa mnashangaa kuona Sepetunga akiwekwa lupango angekuwa ndio huyo mpambe wa Mbowe ungesikia Mbowe anaonewa au anatafuatwa fuatwa.Hilo na liwe somo kwenu nyie mashabiki nyumbu
 
mkuu upeo wako wa kuelewa umeishia hapo? point zangu ni mbili mosi utawala wa sheria kutoheshimika.watuhumiwa wanahaki wapewe.pili lumumba haijari watu.mambo ya vyama potezea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…