No orchid for Ms. Wema Sepetu

Sasa kisa alisaidia kwenye kampeni ndo akifanya kosa aachwe, achen mambo ya ajabu
ndio ulichoelewa? pole.
mahakama pekee ndiyo inathibisha makosa ya mtu sio polisi waka makonda.kwanini wasiwakamate na kuwapeleka mahakamani?wakishinda kesi kwa kukosa ushaidi? muwe mnakaa kimyaa kwenye mada zingine.
 
Ipo siku tutakuja kusema tatizo la nguvu za kiume chanzo ni ccm,maana imekuwa kana kwamba endapo chama kingine kikiingia madarakani ndiyo hakutakuwa na tatizo lolote.
Hahahaha
 
Kwani Wema ni nani kweny hii kna w2 walikuw na vyeovkubwa kweny hii nch na wmefkishwa polic then mahakani na wakahukumiwa vifungo hta km ni vyanje nyie mmekalia tu Wema Wema ni nani kwani yy akpatkana na hatia akale ugali wa bure hko
Raha ya kifungo jela,utasema Yona alifungwa?
 
Suala la kwenda na mwanasheria ulitaka chama ndo kimtafutie? Hilo si ni suala binafsi au kwakuwa alipiga kampeni basi asihojiwe.Kwa akili hizi upinzani unapoteza maana sasa kama wafuasi wao ndo km huyu mtoa mada
Well said
 
mimi siipendi ccm ila kwa hili naunga mkono hoja ,hata kama watasema makonda anatafuta kiki poa tu!jk kakaa na majina miaka kumi,makonda kwenye hili hongera ,japo majina mengine hatujayaona,jux,diamond,nando,idi azzan,ruge,,millard,
si unaona kila mtu ana majina yake! Makonda kawa hakimu? ushaidi uko wapi? maneno ya mtaani? haki ya mtuhumiwa kuwa na wakili iko wapi?
 
Wakati wa kampeni ni haki yako kuikampenia ccm au chama kingine chochote, wakati wa kupiga kura ruksa kuipigia ccm au chama kingine chochote. Hilo ni jambo la msingi lililodumishwa, na ndo democrasi. jambo hili ndo linaitofautisha ccm na vyama vingine. Ukivunja sheria, sheria lazima ifuate mkondo wake. Sheria ni.sheria.
 
Umejitahidi sana kutambulisha uwezo Mdogo wa akili yako
 
Kwahiyo wewe unaona kuikampenia ccm ni justification ya kula au kuuza ngada??? Na una maanisha ni afadhari angefanikisha Lowasa aingie madarakani kwasababu asingeisoma namba Na angeendelea kuuza Na kutumia ngada??
Huu upinzani ni hovyo kabisa!!
Yan wapinzani wa TZ ni ovyo kabisa..
 
Umeharibu kuchanganya habari za mtu anayetuhumiwa na mambo yahusuyo maisha yetu ya kila siku kama vile bei za vyakula n.k
Ushiriki wa Wema kwenye kampeni za chama haumfanyi aruhusiwe kuuza unga wala kupata fair treatment wakati anapotuhumiwa.

Mambo ya kutafuta fair play ni mambo ya rushwa na udugu, kama ana hatia mahakama itathibitisha na apate adhabu inayostahili, mengine ya chama achana nayo hiki sio kipindi cha uchaguzi, Nina hakika chama chake hakikumtuma auze unga( endapo kama itakua kweli).

Hali ya maisha ni kweli ni ngumu ila habari za Wema ziache usizitafutie sababu ya kujiuliza kwanini hapewi u-VIP.
 
Binadam bhana kweli hatuna dogo,angeuza akiwa kada wangesema anatumia jina la chama kuuza sembe,leo kakamatwa na ukada wake imekua lawama eti kwa nini chama kisimsaidie,kua CDM au CCM sio complimentary ya kutuuzia madawa mtaani
pole kwa uelewa mdogo! yule hajakanatwa na dawa! ni mtuhumiwa tu.mtuhumiwa ana haki zake za kisheria unazijua? zimezingatiwa?
 
ndio ulichoelewa! wee kweli zezeta.hoja hapa ni utawala wa sheria na haki za mtuhumiwa! sio vyama vya siasa.
 
Bright sana Broo, bado watakumbukw ten wakati wa kampen...........
 
Upinzani hawana la kusaidia nchi hata uhalifu wanautetea kwali hawa ndio walaji haswaaaa
 
.....
.....vumilia hiki kiputa hakitaki hasira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…