Si kila hoja mnaleta siasa, acheni ulofa.Pamoja na mazoea ya Red carpet& Vip treatment ni vizuri binadamu tukajua kuwa hujafa hujaumbika iko siku waweza kuwa down to earth. tena iko siku ulio wategemea watakubeba ukijua wako nyuma yako ukigeuka hutawaona.
Nakumbuka huyu Wema akishiriki kampeni ya 'mama sema na mwanao' akifanikisha ushindi mubashara wa chama Lumumba,leo hii hata haki yake ya kuwa na mwanasheria akihojiwa haijapewa uzito na nduguze wa Lumumba. wamemchukulia kama sio mtuhumiwa bali mkosaji aliyehukumiwa.
Tuliotaka mabadiliko hatuna cha kupoteza baada ya utawala uleule kubaki kwakuwa tuko salama rohoni.
tulishanawa mikono,pole kwa wale walioshiriki kutusaliti sasa wanalipa na riba za usaliti wao.
Lumumba ni ileile Jana,leo na hata milele is not touch with poor people,(bei za vyakula mtaani)haijari utawala wa sheria(Zanzibar election) Fundisho huwezi kuvuna nanasi kwenye miba.
This is a very poor way of using your brain for thinking.Pamoja na mazoea ya Red carpet& Vip treatment ni vizuri binadamu tukajua kuwa hujafa hujaumbika iko siku waweza kuwa down to earth. tena iko siku ulio wategemea watakubeba ukijua wako nyuma yako ukigeuka hutawaona.
Nakumbuka huyu Wema akishiriki kampeni ya 'mama sema na mwanao' akifanikisha ushindi mubashara wa chama Lumumba,leo hii hata haki yake ya kuwa na mwanasheria akihojiwa haijapewa uzito na nduguze wa Lumumba. wamemchukulia kama sio mtuhumiwa bali mkosaji aliyehukumiwa.
Tuliotaka mabadiliko hatuna cha kupoteza baada ya utawala uleule kubaki kwakuwa tuko salama rohoni.
tulishanawa mikono,pole kwa wale walioshiriki kutusaliti sasa wanalipa na riba za usaliti wao.
Lumumba ni ileile Jana,leo na hata milele is not touch with poor people,(bei za vyakula mtaani)haijari utawala wa sheria(Zanzibar election) Fundisho huwezi kuvuna nanasi kwenye miba.
mtu yeyote ambaye hakutaka mabadiliko ni msaliti.hata wewe ambaye kutwa nzima unatoa mipovu kuisafisha Lumumba ni walewale.siko Chama chochote zaidi ya kupenda na kuungamkono mabadiliko mubashara.nimezalia nimeikuta nchi yetu ya pili kutoka mwisho kwa umaskini.naelekea kuwa mzee bado tunaitwa maskini.utawala na fikra zilezile za Mwalimu zilizoshindwa.count me out.Ni lini Wema Sepetu alikuwa takataka chadema? Kwa maana umeongelea usaliti, sasa usaliti wa Wema Sepetu uko wapi?
mtu yeyote ambaye hakutaka mabadiliko ni msaliti.hata wewe ambaye kutwa nzima unatoa mipovu kuisafisha Lumumba ni walewale.siko Chama chochote zaidi ya kupenda na kuungamkono mavadiliko mubashara.nimezalia nimeikuta nchi yetu ya pili kutoka mwisho kwa umaskini.naelekea kuwa mzee bado tunaitwa maskini.utawala na fikra zilezile za Mwalimu zilizoshindwa.count me out.
Soma uelewe! akili yako kama ndogo utatafsiri hayo.sijatetea kosa lake natetea haki ya kisheria ya kuwa na wakili unapohojiwa.au hujui kuwa mwenyekiti wa lumumba kakataza mawakili wasiwatetee watuhumiwa wengine?Kwahiyo wewe unaona kuikampenia ccm ni justification ya kula au kuuza ngada??? Na una maanisha ni afadhari angefanikisha Lowasa aingie madarakani kwasababu asingeisoma namba Na angeendelea kuuza Na kutumia ngada??
Huu upinzani ni hovyo kabisa!!
mkuu tuseme marambili? huoni hila zao za kuzuia kutoka madarakani? kwa ufanisi upi? nafuu aje mwingine ashindwe!Ipo siku tutakuja kusema tatizo la nguvu za kiume chanzo ni ccm,maana imekuwa kana kwamba endapo chama kingine kikiingia madarakani ndiyo hakutakuwa na tatizo lolote.
Pamoja na mazoea ya Red carpet& Vip treatment ni vizuri binadamu tukajua kuwa hujafa hujaumbika iko siku waweza kuwa down to earth. tena iko siku ulio wategemea watakubeba ukijua wako nyuma yako ukigeuka hutawaona.
Nakumbuka huyu Wema akishiriki kampeni ya 'mama sema na mwanao' akifanikisha ushindi mubashara wa chama Lumumba,leo hii hata haki yake ya kuwa na mwanasheria akihojiwa haijapewa uzito na nduguze wa Lumumba. wamemchukulia kama sio mtuhumiwa bali mkosaji aliyehukumiwa.
Tuliotaka mabadiliko hatuna cha kupoteza baada ya utawala uleule kubaki kwakuwa tuko salama rohoni.
tulishanawa mikono,pole kwa wale walioshiriki kutusaliti sasa wanalipa na riba za usaliti wao.
Lumumba ni ileile Jana,leo na hata milele is not touch with poor people,(bei za vyakula mtaani)haijari utawala wa sheria(Zanzibar election) Fundisho huwezi kuvuna nanasi kwenye miba.
Aiseee hii POST YA 3 SASA NAMSOMA RUGE.mimi siipendi ccm ila kwa hili naunga mkono hoja ,hata kama watasema makonda anatafuta kiki poa tu!jk kakaa na majina miaka kumi,makonda kwenye hili hongera ,japo majina mengine hatujayaona,jux,diamond,nando,idi azzan,ruge,,millard,
mkuu wanasheria wanaogopa kukamatwa hata kwenda central hawataki.umesahau mkwara wa siku ya sheriaKama kweli anauza au anshiriki kwa namna yyt ile na hiyo shuhuli basi sheria ifuate mkondo wake.......haijalishi alipigia kampeni chama gani.
Haujakamatwa bado??Au wewe ni wale watakaoripiti Jumatatu?Vipi Diamond anaitwa lini??Au kwa vile tuna kunywa naye hataguswa??Na Mchaga aliyepo chadema ni nani? Mmiliki misukule au?
Baniani mbaya mkuu lakini apewe upatu wake.sweka ndani hao mashetani, kwanza ni mfano mbaya sana kwa watoto wetu, wanachafua tabia watoto wetu bora tu wakae ndani ustaarabu udumu mtaani. mtu na umri wote ule hana akili kichwani?kama hatumii madawa ni nini sasa?