NO NONSENSE...! Mwl jkn. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

NO NONSENSE...! Mwl jkn.

Discussion in 'Jamii Photos' started by SILENT WHISPER, Jul 18, 2012.

 1. SILENT WHISPER

  SILENT WHISPER JF-Expert Member

  #1
  Jul 18, 2012
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 2,231
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  NO NONSENSE JK NYERERE.jpg


  hapa ilikuwa Utaifa mbele....ufisadi nooo....NO NONSENSE ! je tuna kiongozi wa kuvaa hichi KIATU..?

  MY PRESIDA IS HANDSOME...??? DHAIFU JE??
   
 2. happiness win

  happiness win JF-Expert Member

  #2
  Jul 18, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 2,478
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0
  Hakuna kiongozi a kuvaa kiatu cha kiongozi huyu
   
 3. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #3
  Jul 18, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  kiatu kikubwa hicho kinawapwaya watu kweli!
   
 4. Mangaline

  Mangaline JF-Expert Member

  #4
  Jul 18, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 1,052
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Tuulizeni sisi tuliokuwepo. Huyu jamaa alikuwa na roho mbaya sana.
  1. Mwaka 1964 aliwaondoa wana mapinduzi wa Zanzibar na kumpa mshenzi ambaye hata mapinduzi hakushiriki.
  2.Mwaka 1964 aliokolewa na Oscar Kambona wakati maji yamefika shingoni, na ilipofika 1967, akamwangamiza
  3.Alimwonea Mwamwindi kwa kumtetea Kreluu aliye fumaniwa akiwa na mke wa mtu

  yako mengi sana, acha tusiseme tu.
   
 5. happiness win

  happiness win JF-Expert Member

  #5
  Jul 18, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 2,478
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0

  Inabidi tukipeleke kwa fundi akakibane bane, angalau apatikane wa kukivaa. Maana nchi imeshatumbukia mtaroni. Nani atatusaidia. EEE Mola tuone watu wako
   
 6. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #6
  Jul 18, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145  Nasikitika sana sikuwepo wakati unaouzungumzia wewe,lakini nimekuja kumsoma na kufuatilia mengi tu aliyoyafanya katika uongozi wake hata baada ya kuacha uongozi.Ninachoweza kusema ni kuwa katika uongozi hata uwe mzuri kiasi gani hutaweza kuridhisha wote,na wale ambao hawakuridhishwa na uongozi wake ni kama wewe hapa unavyojaribu kuwashawishi watu.Lakini ukweli utabakia palepale kuwa huyu mzee alisimamia maslahi ya umma na alijaribu kujenga jamii yenye usawa na hakuwa na huruma wala uvumilivu kwa mtu yeyote aliyekuwa na mtazamo wa ubinafsi na hao uliowataja waliadhibiwa kwa sababu ya kutaka kujenga jamii ya kibebari tofauti na msimamo wa serikali yake wakati huo.Labda tu nikuulize,kama mzee asingesimamia sera za ujamaa wakati ule ambapo ndio tulikuwa tunatoka katika ukoloni ni wangapi ambao wangaweza kugharimia watoto wao katika shule za binafsi?Na kama si msimamo wake tungeweza vipi kuepuka migongano ya kikabila wakati ambapo kuna baadhi ya makabila hapa nchini yalikuwa yakijiona kuwa ni bora kuliko mengine?
   
 7. SILENT WHISPER

  SILENT WHISPER JF-Expert Member

  #7
  Jul 18, 2012
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 2,231
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  AMETAWALA ZAIDI YA MIAKA ISHIRINI ..NA BADO UNAPATA SHIDA HATA KUTAJA MAKOSA MATANO ...! je viongozi waliokaa ikula kwa miaka 10 tu wana makosa zaidi ya mia,..tena makubwaa mnoo..! JKN HAKUNAGA.
   
 8. M

  Moony JF-Expert Member

  #8
  Jul 18, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 1,593
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Kwa kutetea na kusimamia haki, usawa, umoja na amani hakuna kama yeye. Si Africa tu hata ulimwengu mzima. Labda tuseme baada ya Yesu Kristo kwa mbali, huyu anaitwa mwenye HERI.
  The only "SELFLESS'' President and leader in history.

  Sasa kuhusu roho yake mbaya, basi sisi tunaomkubali tulishaipaka rangi. Ila hata moja ya kumi na sita ya roho yako mbaya hajafikia.
   
 9. chopeko

  chopeko JF-Expert Member

  #9
  Jul 19, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 1,414
  Likes Received: 299
  Trophy Points: 180
  wapo sema hatujaamua kuwapa nafasi waongozee..wapo wengi sana!!!
   
 10. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #10
  Jul 19, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  labda angesema ccm ndio hamna lakini tanzania wapo sana hata kama sio chadema wapo weeeeengi ni fursa yu hawajapewa.
   
 11. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #11
  Jul 19, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,323
  Likes Received: 1,788
  Trophy Points: 280
  SILENT WHISPER umeanza uchokozi...kwani kuna awamu kali yenye kupeleka mambo kama awamu ya nne? Chombo gani cha habari kisichotujua sisi? Tunajenga nchi yetu kwa nahau na misemo,lol!
   
Loading...