Freema Agyeman
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 3,666
- 3,529
Hakuna shabiki au wapenzi wa National Football League? Nasoma Yahoo kuwa playoffs zinaendelea na humu kimyaaa! Au ni macho yangu tu?
Unataka kujua nini
ndio ligi nchi gani hiyo? maana sisi wengine tunafuatilia la liga, epl na uefa bila kusahau ligi kuu tanzania bara, sasa hiyo wengine hatuijui.
Sasa si ndo uanze kutueleza tupate kuelewa.Ndio hivyo uijue sasa. Vizuri kujifunza kitu kipya.
Ndio nasikia leo embu dadavua basi nikuelewe
Ni National Football League ya Marekani, ni ule mpira wa miguu wanavaa hellmete
Kumbe mpira wenyewe ndio huu!! mi nilidhani soka, basi kila heri nadhani wapo wanaofuatilia huu mchezo.