kissa anyigulile
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 1,550
- 1,743
Nina neno: No network kwa mitandao hiyo miwili toka asubuhi ya Leo 21/12/2021.
Naomba kujuzwa: Kuna zoezi la kuhakiki upya line?
Naomba kujuzwa: Kuna zoezi la kuhakiki upya line?
Asante Mkuu!Hata Voda ilikuwa hivyo sema limeshaisha nafikiri Kuna vitu wanaweka Sawa