No indictment in NYPD chokehold death

No indictment in NYPD chokehold death

We dogo unaujua umri wangu?

Halafu huyo Koba ni kibabu kumzidi hata mshua wako.

wewe una mtoto mkubwa sana kulingana na maelezo yako ya nyuma na post zako wewe ni kidingi fulani ila kutokana na exposure umerudi ujanani ila kiumri Shikamoo.

Wewe above 50. Koba najua yuko 20's wewe ni kama dad nakuheshimu sana maana kiumri unanizaa kabisa
 
You are hilarious but you can't be serious!
 
wewe una mtoto mkubwa sana kulingana na maelezo yako ya nyuma na post zako wewe ni kidingi fulani ila kutokana na exposure umerudi ujanani ila kiumri Shikamoo.

Wewe above 50. Koba najua yuko 20's wewe ni kama dad nakuheshimu sana maana kiumri unanizaa kabisa

You all try to be nice.Dont get personal it's nice cool .mtoto anaingiaje ?.It doesn't cost anything to be nice
 
maandamano ni makubwa sana ata kwenye Highway kumejaa watu kibao .Watu wanatembea kuelekea mjin kabisa.Hali ni mbaya sana watu wanazidi kuongezeka sana hali ni mbaya
 
You all try to be nice.Dont get personal it's nice cool .mtoto anaingiaje ?.It doesn't cost anything to be nice

nimesoma mtoto kuonyesha alivyo mkubwa na pia kumpa heshima yake.Ukweli ndio huo Nyani Ngabu ni mdingi fulani ila ataki kukubali tu
 
Last edited by a moderator:

Simjui NYANI ila ni mtoto wa miaka labda 38 -40.Brother man wa shaban Robert or mzizima.Ana andika American English . 50 years old hawaandiki American English wana andika n
British / German heavy accent .
 
Last edited by a moderator:
wewe una mtoto mkubwa sana kulingana na maelezo yako ya nyuma na post zako wewe ni kidingi fulani ila kutokana na exposure umerudi ujanani ila kiumri Shikamoo.

Wewe above 50. Koba najua yuko 20's wewe ni kama dad nakuheshimu sana maana kiumri unanizaa kabisa

Nyani Ngabu Cuzzo I didn't know you're octogenarian?!,....lol!
You look pretty good for your age!, well, black don't crack!
 
Last edited by a moderator:
Simjui NYANI ila ni mtoto wa miaka labda 38 -40.Brother man wa shaban Robert or mzizima.Ana andika American English . 50 years old hawaandiki American English wana andika n
British / German heavy accent .

ndio maana nikasema Nyani Ngabu ni mzee lakin anajiweka kijana ili naye aonekane kijana lakin ukweli ni mtu mzima sana kidingi alivuka steji kadhaa za ujana ila sasa ndio ameamua kurudia.

Shikamoo tena Nyani Ngabu
 
mimi sitanii kama ni uchizi bora kuwa chizi wa kusema ukweli na kuamin kile nasema

NYANI ataita Elevator wewe STUNNA utaita Lift .NYANI ataandika RESTROOM wewe STUNNA utaandika TOILET .Umeelewa stuna .
 
Nyani Ngabu Cuzzo I didn't know you're octogenarian?!,....lol!
You look pretty good for your age!, well, black don't crack!

ur not octogenarian coz ur age is between 50-60 not 80-89

mi sijafika 30 hivyo ni wajibu wangu kukuheshimu kulingana na mila za kiafrika.

Nyie wazee wengine mkipewa shikamoo mnamind sana hamtaki.Lakin lazima nikupe heshima yangu we kama baba au mjomba
 
Last edited by a moderator:
NYANI ataita Elevator wewe STUNNA utaita Lift .NYANI ataandika RESTROOM wewe STUNNA utaandika TOILET .Umeelewa stuna .

lakin zote maana ni sawa,mi si complicate mambo,Nyani Ngabu anacomplicate maisha .Maisha ni rahisi tu mzazi,baba,mjomba Ngabu .
 
ur not octogenarian coz ur age is between 50-60 not 80-89

mi sijafika 30 hivyo ni wajibu wangu kukuheshimu kulingana na mila za kiafrika.

Nyie wazee wengine mkipewa shikamoo mnamind sana hamtaki.Lakin lazima nikupe heshima yangu we kama baba au mjomba

Relax mbona jazba
 
lakin zote maana ni sawa,mi si complicate mambo,Nyani Ngabu anacomplicate maisha .Maisha ni rahisi tu mzazi,baba,mjomba Ngabu .
Respect his opinion and he will respect yours .Ni opinion yake huna haja ya jazba.
 
mimi sitanii kama ni uchizi bora kuwa chizi wa kusema ukweli na kuamin kile nasema

Kusema ukweli na kusema kile unachokiamini ni mambo mawili tofauti kabisa.

Mimi wewe hunijui kabisa kwa hiyo huwezi kusema ukweli wowote ule kuhusu mimi.

Ila nakusamehe tu kwa sababu sidhani kama una uwezo hata wa kuelewa nilichokiandika hapa.

Uwezo wako ni mdogo sana.
 
Unaweza kumjua mtu kupitia maneno yake na mambo ambayo ameandika na anayoandika.Mimi najua ata tabia ya mtu kulingana na vile anaandika.Hivyo wewe nishakusoma mkuu
 
ur not octogenarian coz ur age is between 50-60 not 80-89

mi sijafika 30 hivyo ni wajibu wangu kukuheshimu kulingana na mila za kiafrika.

Nyie wazee wengine mkipewa shikamoo mnamind sana hamtaki.Lakin lazima nikupe heshima yangu we kama baba au mjomba

Wabongo kwa kujali number!, yaani mtu akifika 30 that's it, kazi kwishney mnataka asifanye lolote zaidi ya kukaa chini na kula ugoro!, ndo maana watu wanakufa mapema
 
Unaweza kumjua mtu kupitia maneno yake na mambo ambayo ameandika na anayoandika.Mimi najua ata tabia ya mtu kulingana na vile anaandika.Hivyo wewe nishakusoma mkuu

Not true,....thory!
 
Unaweza kumjua mtu kupitia maneno yake na mambo ambayo ameandika na anayoandika.Mimi najua ata tabia ya mtu kulingana na vile anaandika.Hivyo wewe nishakusoma mkuu

Huwezi kumjua. Unaweza ukapata taswira flani juu ya huyo mtu lakini kumjua kamwe huwezi.

Lakini, kama nilivyosema hapo juu, sidhani kama una uwezo wa kutofautisha kati ya kujua na kudhani.

Ila, kama kweli unanijua basi nakupa ruhusa hapa uweke majina yangu yote, umri wangu, tarehe yangu ya kuzaliwa, elimu yangu, mahali ninapoishi, hali yangu ya kindoa, kazi ninayofanya, na kingine chochote kile kunihusu mimi.

Haya, kazi kwako.....
 
Back
Top Bottom