masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,380
- 19,279
- Thread starter
-
- #41
hakuna kitu kinachoshindikana chini ya juamasai dada Utaishia kurudi kule kule, baada ya mda mfupi. Bila kuwa spiritual, utakua unafanya kazi bure. kuna kipindi niliona watu, wamedownload hadi app playstore, ya kucount days nilicheka sana. Huwa najiuliza mtu unapata wapi nguvu za kuangalia porn, na kufanya masturbation au kuona sifa na ujanja kwa kuwa mzinzi hasa kwa wanaume wenzangu.
ANGALIZO: mafanikio makubwa kwa mwanaume, yanaenda sambamba na uwezo wa kuhifadhi shahawa zako, kwa mda mrefu sana. Na hili utalifanikisha, kwa kufanya meditation(tahajudi), mda wote bila kuchoka, kwa njia ya Kumshirikisha Mwenyezi Mungu. na kuishi maisha ya ki Mungu duniani, Hii ni kwa wale wasio religious people's.
sio tu kusimamia ukicha, nilisimamia hewaa kujazia gapeuliiikamia au sio
[emoji23][emoji23][emoji23]Mhmm!! Sio baadae uanze kujipiga gitaa mwenyewe..!!
kitokusex kabisaNo FAP ndio nini hiyoo?
twende tuone😁😁😁😁😁😁Challenge accepted
Vipi wewe umo pia mkuu @ smooth criminal
Nimeanza mwezi huu nataka nimalize mpaka mwisho wa MwakaMnaanza lini tena member mpya nipo hapa
Nimesoma ule uzi wa nguvu itokanayo na jambo hilo
am in aiseee
mi mpaka mwezi kama huu mwakaniNimeanza mwezi huu nataka nimalize mpaka mwisho wa MwakaView attachment 3589329
Time will tell.haku
hakuna kitu kinachoshindikana chini ya jua
chochote kile kinawezekana
only 14 daysNimeanza mwezi huu nataka nimalize mpaka mwisho wa MwakaView attachment 3589329
Tayari mmeanza tena😁Nimeanza mwezi huu nataka nimalize mpaka mwisho wa MwakaView attachment 3589329
Saa sita usiku ifike na mimi nianze day 1 😁Nimeanza mwezi huu nataka nimalize mpaka mwisho wa MwakaView attachment 3589329
Kila la kherimi mpaka mwezi kama huu mwakani
Ndo nimeanza this month target nipige kama siku mia mbili hivionly 14 days
ila sio mbaya
Tupo kupambana tena haijaisha mpaka iisheTayari mmeanza tena😁
All the best Mkuu..Saa sita usiku ifike na mimi nianze day 1 😁
Mapambano yanaendeleaNakubali mkuu
Day 1