No english no service!!!

Kumbe vi english vipo vingi eeh?!!
 
Filipo said:
Hiki kiinglish cha Katibu wa Umofia kwenye
kitabu cha No longer at ease kilimshinda hata
Obi Okwonkwo aliyepelekwa kwenda kusoma
sheria yeye akasoma Literature Uingereza! I
real dont like it!
Una kumbukumbu! We lazima ulipata div 1 o'level

Labda ndio kwanza kamaliza O-Level juzi juzi...
 
Makusudically huku ni kukomoana!
 
Me i see that the english is very very solid,if unless me i want to speek and you comprehension together participle day, then i find the another day to try
 
Hata kama English was compulsory, but this of yours Ni English ile ya watoto wa FRM 2 kwenye dibeti
 
Hata kama English was compulsory, but this is of yours Ni English ile ya watoto wa FRM 2 kwenye dibeti

Utapata presha hapa chitchat!!!!be easy....lol..mzima lakini mkuu??
 
Utapata presha hapa chitchat!!!!be easy....lol..mzima lakini mkuu??

Niko poa ila nimepata shida sana leo nasafiri kutoka Mwanza Kuja Dar ila hii gari imenipa karaha.
 
Niko poa ila nimepata shida sana leo nasafiri kutoka Mwanza Kuja Dar ila hii gari imenipa karaha.
Pole mkuu....ukifika pitia pale Ambiance upate kitulizo kabla ya kwenda Mbagala maji matitu..
 
Makusudically huku ni kukomoana!

hujawahi kukutana na kiingereza cha Kiranga au yule mwingine niliyemsahau kiukweli mi hawa siwaelewagi na kutokuwaelewa kwangu nikajikuta kila comments zao lazima nisome
walinifanya nitaifokonyoe dictionary yangu ilipo
mwee
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…