No easy walk to freedom

wazunguwawili

JF-Expert Member
May 29, 2019
3,984
4,131
Kwa wale wote walio katika harakati za kutafuta uhuru, ama uwe

- Siasa
- Mapenzi
- Maisha
- Utumwa
- Uonevu
- Tume huru

Ni mapambano tu, ama iwe kwa sala, maombi, elimu, vita, ushawishi n.k lazima ujitoe kuweza kutimiza malengo.

Hata Yesu alisema hakuja kuleta amani bali vita. Hii ni kwa kuwa alitaka watu watende mema na kuacha maovu. Wengi walionufaika kwa uovu, wizi, ufisadi hawakutaka kusikia.

Pia anasisitiza yeye hakuja kutengua torati bali kuitimiza.

Ni mwaka wa uchaguzi, no easy walk to election.

Jumapili njema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu wataka kutuambia Jiwe ni masiha? kama ndiyo do we have to bow down our knees to him? no! I can't confess...
 
Kosa kubwa hatutengenezewi viongozi !!! Baada vyama vingi hakuna tena utaratibu kutengeneza viongozi ....wanasukumiziwa tuuu
 
A luta continuer

Back
Top Bottom