englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
tupo!!!!!!!!ujumbe huu auone zahra white
Sipo !
Haiapply kwa wote!
Mweeeeee!! Yamekua haya tena!
Zahra white ndo nani vile maana kila post anatajwa!!
ishakua tabu sasa ndio tuanikane humu dunian kabangaNdio hivyo... au ulitaka tabia yako tusijue?
Ina apply kwanani Sasa ..?
hahaaa shosti huyo ni bidada yeye anataka wazee vijana eti hawajui mapenzi
na pesa ndio kila kitu msemo wake ni mwanaume pesa sura kuvumiliana