No Comment!
ndetichia JF-Expert Member Mar 18, 2011 27,774 6,527 Dec 7, 2012 #2 pyuuuuuuuuuuuuuuu... kimya still no comment
Zogwale JF-Expert Member Jul 10, 2008 14,937 9,716 Dec 7, 2012 #4 Yaani watoto wanakuzwa kwa uzoefu wa kufa mtu!! Hawaiogopi bunduki. Wakikua wataacha kuchoma nyumba za ibada kweli au kujilipua mhanga!!? Yapite mbali haya!!
Yaani watoto wanakuzwa kwa uzoefu wa kufa mtu!! Hawaiogopi bunduki. Wakikua wataacha kuchoma nyumba za ibada kweli au kujilipua mhanga!!? Yapite mbali haya!!
Donnie Charlie JF-Expert Member Sep 16, 2009 12,670 11,776 Dec 7, 2012 #5 kwani comments ndio zilikupigisha BAN?
HIMARS JF-Expert Member Jan 23, 2012 46,060 47,052 Dec 7, 2012 #6 wakitoka hapo hata hawaogopi kuhuhsu vita I call it destruction
Ndibalema JF-Expert Member Apr 26, 2008 10,957 4,623 Dec 7, 2012 #7 Hii hutokea Afrika na labda Asia tuu. Silaha zinatoka Amerika na Ulaya.