No comment!!

No comment!!

Lukolo

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2009
Posts
5,143
Reaction score
3,212
umenizingua.jpg

Pana usalama hapa kweli!!
 
Namna ambavyo huo mkono wa kulia umeshikilia, aah nina mashaka mengi sana hapo.
 
Dah hapo kaazi kweli kweli aisee
Dah mzee naona kakamata kitu
 
Mzee 6 alikuwa anakagua kama kavaa chachandu
 
Usalama upo,ni mambo ya kawaida tu hayo!
Si unaona Halima anavyojaribu kukwepesha mdomo? Hapo ukiangalia panaonekana pana tension, wakati mzee 6 anamvuta Halima towards yeye, Halima naye anajivuta kwenda mbali.
 
Raha jipe mwenyeweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Back
Top Bottom