BLACKTIGER
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 4,840
- 7,861
Hiyo sheria ya kuviziana baada ya kesi kuisha ilishafutwa!Nolle ikisemwa hakuna kupinga.
Maana aliyekushtaki ndio kaondoa mashtaka.
Ndio maana unaweza kufutiwa kesi . Askari Magereza wakakuachia. Alaf ukatoka nje ya mahakama, na Polisi wakakukamata wakakupeleka mahabusu zao na kukufungulia kesi nyingne.
Haya mashtaka sio ombi lako. Ni ww ni mshtakiwa.