No bootable Device

Ab5

Senior Member
Joined
Dec 3, 2017
Posts
151
Reaction score
99
Wakuu habari zenu
Poleni saana na majukum ya kuijenga Tanzania ya viwanda. Na tuendelee na duah kuiombea ndege yetu iliyoshikiliwa bondeni kule iachiwe maana bila ile ndege itakuwa ngumu sana kupata huduma bora za afya, elimu, barabara, AJIRA KWA VIJANA, kuongeza mishahara kwa Wafanya kazi, mikopo ya kwa wanafunzi Elimu ya juu, N.K.

Let me go direct to the point Laptop yangu aina ya Acer imegoma kuwaka kabisa nikiwasa inaweza load muda mrefu mwishon yanakuja maandishi No bootable Divice
Nomben mnisaidie
Chanzo
Na suluhisho la tatizo hili na mnitoe hofu kama ni tatizo linalo tibika
Asanteni...
 
hard disk ime corrupt au ipo disconnected au ipo loosely connected.

ya mwaka gani laptop yako?
 
Hey mkuu.
Ukibonyeza batani ya ku power on Computer cha kwanza Rom computer inafungua kitu kinachoitwa Frimware kipo ndani ya ROM. Frimware ndio inaonyesha labda jina la Computer etc..Frimware inaanzisha kitu kinachoitwa Post (Power on aelf Test) kwa ajili ya kukagua vitu vyote vya hardware vilivyounganishwa kwenye computer eg Keeyboard, Mouse,speeka etc.. kama Keeyboard hamna itakupa taarifa. Kama hamna tatizo lolote hapo then Itaendelea hatua ya mwisho inaitwakutafuta Bootable Device.. Bootable Device ni Operating System mkuu eg Windows. Kama Hakuna OS basi itaishia hapo hapo mkuu.

Kwa maelezo hayo.. tatizo la komputa yako lipo kwenye OS.. either hakuna os,au HDD imekufa , hakuna HDD au OS imekufa.
 
operating system ni software. siyo device.

tatizo la pc ya jamaa yetu ni hardware. ingekuwa ni OS ingeandika No operating system found.
 
Hii ndege yetu lazima ipiganiwe
 
operating system ni software. siyo device.

tatizo la pc ya jamaa yetu ni hardware. ingekuwa ni OS ingeandika No operating system found.
Heheee kasome tena OS vizuri mkuu.
 
maelezo yako karibu yote ni mazuri tu. changamoto ipo pale uliposhauri kuwa kwa meseji ile tatizo linaweza kuww ni OS.
Os sio device bana, Os ni software

Hata ile inaitwa FIRMWARE sio wewe ulivyoiandika FRIMWARE
Ni kweli Post hua inakagua Bootable device ambazo pia ni kama HDD etc Os inakaa ndani ya HDD kwa mantiki hyo nikasema Bootable Device ndio OS. Sijui mmepata concept yangu
 
Fuata ushauri wa jamaa hapa, itakusaidia sana kwakweli.
hard disk ime corrupt au ipo disconnected au ipo loosely connected.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…