Laptop yangu haiioni hard disk,nisaidieni mieeeee!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Laptop yangu haiioni hard disk,nisaidieni mieeeee!!!

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by mchajikobe, Feb 20, 2012.

 1. m

  mchajikobe JF-Expert Member

  #1
  Feb 20, 2012
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 2,397
  Likes Received: 675
  Trophy Points: 280
  Wakuu hii laptop yangu ni inspiron 1525 nikiiwasha inaniletea msg ya no bootable device,lakini hard disk yake nikiiweka kwenye mashine nyingine inaonekana ila nikiiweka hata hard disk mpya haidetect,naombeni msaada wenu jamani nimekwama,but some times ina boot vizuri lkn ukiirestart tatizo linajirudia!!!
   
 2. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #2
  Feb 20, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  Jaribu kuflash BIOS ikishindikana ni PM
   
 3. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #3
  Feb 20, 2012
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Punguza mambo ya PM . Mwaga ujuzi

  Alafu kwa nini unamshauri aflash BIOS
  ?

  Washa Nenda kwenye BIOS angalia kama BIOS inatambua HDD. Inawezekaa HDD ina some bad/corrputed sectors hasa secor ya 1 na 2 amabzo ndio file za kuboot . So zinahitaji repair. Sector 1 na 2 ndipo record za kuboot zinapokaa. So kama

  Kama tatizo ni bad sector yaani (logicl damage) basi ndio maana ukiiweka HDD kama slave kwenye omputer nyingine inakuw detected. Unaweza kuhamisha hiyo HDD kwenye computer nyingine kama salve na kutafuta program za kurepair. Windows yeyewe ina tool moja inaitwa
  checkdisk . Sijafanya Disk repar kwa siku nyingi lada wataalaam wengie wataje program nzuri ya kurepair DISK( logically)
   
 4. m

  mchajikobe JF-Expert Member

  #4
  Feb 21, 2012
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 2,397
  Likes Received: 675
  Trophy Points: 280
  Tatizo sio hard disk,nimeshafanya yote hayo,nimeshafunga hard disk mpya lakini the same problem inatokea,na hard disk yake nikiifunga kwenye mashine nyingine kama master inasoma fresh tuu!!!
   
 5. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #5
  Feb 21, 2012
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0

  Setting za BIOS zikoje kuhusu HDD????

  Na hio HDD ni IDE au SATA. Kama HDD ukiifunga kama master kwenye mashine nyingine basi hakikisha seting za BIOS ziko OK? au kama vipi anza na kuset factory setting kwenye BIOS kisha save .
   
Loading...