No Audio kwenye After effect

No Audio kwenye After effect

Infopaedia

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2011
Posts
1,234
Reaction score
1,503
Habari za saa hii wakuu. Nimeanza kutumia After Effects, lakini nina shida kidogo. Niki-import clip kwenye project, nikiishusha kwenye composion, wakati wa ku-play hakuna audio.

Kwenye media player pc ina audio kama kawaida. Ila huku kwenye After Effects hakuna audio. Nime-meet na kuzidi minimum requirements za AE. Natumia Dell workstation, Precision T3400 with dual core 2.2 Ghz na RAM ya 4 GB. Nasubiri msaada.
 
Ukiplay tu hivi hivi kwa spacebar huwa haitoi sauti, Mpaka eidha uwe una-Export au ufanye preview by clicking " 0 " kwenye Numpad yako Infopaedia
 
Last edited by a moderator:
Ukiplay tu hivi hivi kwa spacebar huwa haitoi sauti, Mpaka eidha uwe una-Export au ufanye preview by clicking " 0 " kwenye Numpad yako Infopaedia
Asante sana mkuu. Nitajaribu hiyo ya num pad. Ili nilihangaika kwenye forums kadhaa nikapata njia ya kutumia Ram preview. Inafanya kazi vizuri tu, ila ni lazima ianzie mwanzo wa clip. Not bad tho.
 
0 kwenye numpad ni shortcut ya RAM Preview, sio lazima uanze mwanzo,, unaweza uka trim composition kwenye kipande unachotaka, nenda sehemu unayotaka kuanzia then click " B " then nenda unapo taka kuishia the Click " N " then fanya RAM Preview, itaplay sehemu uliyochagulia
 
Asante sana mkuu. Nitacheza nayo. Inaonekana uko deep na hii kitu, safi. Vp kuhusu "plugins". Una zozote ambazo unaweza ku-share ma mimi? Nitashukuru sana kama nitapata msaada wa hizo kitu.
 
Back
Top Bottom