Nni Tofauti ya maneno haya? Contractor ama Constructor? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nni Tofauti ya maneno haya? Contractor ama Constructor?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by ExpertBroker, Nov 23, 2011.

 1. E

  ExpertBroker JF-Expert Member

  #1
  Nov 23, 2011
  Joined: Jun 1, 2009
  Messages: 454
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Samahani wanaJF, mimi huwa natatizwa na neno Contractor! Ninavyoelewa mimi ni kwamba, Contractor ni mtu aliyeingia mkataba(contract) na mtu mwingine ama taasisi ama kampuni kufanya kazi fulani! Sasa je na mjenzi wa mradi wa nyumba ama barabara kwa kimombo tunaambiwa ana-construct (anajenga), na kazi aifanyao ni construction, Sasa swali langu ni kwamba kwa nini basi huyu tusimwite Constructor badala ya Contractor kama ambavyo tumezoea wengi kuwaita? Isn't it grammatically right?
   
 2. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #2
  Nov 23, 2011
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,526
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Hivi huna dictionary au thesaurus jamani .Duh
   
 3. RR

  RR JF-Expert Member

  #3
  Nov 23, 2011
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,720
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 160
  Contrator ni mtekeleza mkataba (contract executor).....
  Imezoeleka zaidi kutumika kwenye ujenzi
  contractor is a person who undertakes a contract to provide materials or (nadhani hapa sahihi ni and/or) labour for a job.

  Constructor inatokana neno construct.....ni mjenzi! Sio lazima awe anatekeleza mkataba!
   
 4. E

  ExpertBroker JF-Expert Member

  #4
  Nov 23, 2011
  Joined: Jun 1, 2009
  Messages: 454
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Naombeni msaada wadau
   
 5. Mr. Mwalu

  Mr. Mwalu JF-Expert Member

  #5
  Nov 23, 2011
  Joined: Feb 4, 2010
  Messages: 813
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 60
  Shughuli za ujenzi zimegawanyika katika sehemu kuu mbili ( pre and post contract) ie kabla na baada ya mkandarasi kusaini mkataba. Huwezi kujenga bila kuwa na mkataba, kubwa anachofanya kwenye ujenzi ni kutekeleza aliyoya sign kwenye mkataba! Ie mkataba ndio unaomungoza!
   
 6. E

  ExpertBroker JF-Expert Member

  #6
  Nov 23, 2011
  Joined: Jun 1, 2009
  Messages: 454
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Ndugu yangu Mfamaji kweli umekufa maji! Nafikiri hukuelewa msiongi wa hoja yangu! Dictionary ama thesaurus inaelezea vizuri maneno hayo! Hoja yangu kubwa ni kwa nini neno Contractor linatumika zaidi kwa mjenzi na si Constructor? Kwa nini Suppliers wa cartridges ama maji ya kunywa maofisini kama kisima water tusiwaite nao ma-contractors? Nimepitia Dictionary na thesaurus ndio maana nikaibuka na hoja hii! Isijekuwa tumezama kwenye mazoea tukafikiri ndo lugha sahihi!
   
 7. E

  ExpertBroker JF-Expert Member

  #7
  Nov 23, 2011
  Joined: Jun 1, 2009
  Messages: 454
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Ishu kubwa hapa ni huyo mjenzi baada ya kupewa mkataba, tumwiteje? Contractor ama constructor?
   
 8. C

  CHIPANJE JF-Expert Member

  #8
  Nov 23, 2011
  Joined: May 1, 2011
  Messages: 313
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Contractor:a person or a company that has a contract to do work or to provide goods or services for another company.Eg a building contractor while constructor is a person or a company that build things like cars or aircraft.
   
 9. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #9
  Nov 23, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 160
  Contractor may refer to:
  • General contractor, organization or individual that contracts with another organization or individual (the owner) for the construction of a building, road or other facility
  • Subcontractor, an individual or business that signs a contract to perform part or all of the obligations of another's contract
  • School bus contractor, a private company or proprietorship which provides school bus service to a school district or non-public school
  • Independent contractor, a natural person, business or corporation which provides goods or services to another entity under terms specified in a contract
  • Private military company, organization or individual that contracts to provide services of a military nature
  • The Contractor, a 2007 action movie starring Wesley Snipes
  • Consultant, a professional who provides expert advice in a particular domain or area of expertise
  • Permatemp, a person who works for an organization for an extended period via a staffing agency
  • "Contractor", a song released by the band Lamb of God
  Contractor is also a common surname of Parsi and Bohra people in South Asia, and may refer to:
   
 10. E

  ExpertBroker JF-Expert Member

  #10
  Nov 23, 2011
  Joined: Jun 1, 2009
  Messages: 454
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  If so, the person who undertakes a contract is called a contractor? Does is it mean the definition is so specific to some type of contracts? What if I enters into a contract to supply stationaries? Am I a contractor or a Supplier! For this case, a word "Contractor" is a general term, lakini swali langu ni kwa nini linatumika zaidi kwa wajenzi? Je, ni kweli kwamba kuna mmoja laifanya makosa badala ya kutamka Constructor akatamka contractor then tukaendelea nayo kama mzungu mmoja alivyoshindwa kutamka Nyanza akasema Mwanza na sisi tuka-copy na ku-paste? Ama Check Train ikawa Chekeleni na Kibo Along ikawa Kibololoni, nk, nk!
   
 11. shizukan

  shizukan JF-Expert Member

  #11
  Nov 23, 2011
  Joined: Jan 16, 2011
  Messages: 1,158
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Contractor ana wajibu mpana katika mradi kuliko Constructor. Kwa mfn: Mradi wa barabara unahusisha makundi mbali mbali ya fani mpk ukamilike. Wamo ma-constructors, surveyors, evaluators, suppliers n.k. Kazi ya hapa ni kuwasimamia hawa wote ktk kuhakikisha mradi unasonga mbele, lkn kazi ya Constructor ni just kujenga portions atakazopangiwa kwa mujibu wa Contractor's Project Plan. Kwa hiyo Contractor ni yule mzabuni na vilevile Contractor zingatia kuwa anaweza kuweka ma-Sub Contractors ikiwa mradi ni mkubwa wenye majukumu mengi. In this case kutakuwa kuna Main Contractor ambaye ndiye atasimamia mradi wote na Sub Contractors watasimamia portions zao za mradi mradi kwa mujibu wa makubaliano.
   
 12. E

  ExpertBroker JF-Expert Member

  #12
  Nov 23, 2011
  Joined: Jun 1, 2009
  Messages: 454
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mkuu hizo definition zipo nyingi uki-google! Swali langu ni kwamba, why mostly using contractor instead of constructor! I did not ask for their definitions?
   
 13. E

  ExpertBroker JF-Expert Member

  #13
  Nov 23, 2011
  Joined: Jun 1, 2009
  Messages: 454
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Still beating around the bush!
   
 14. E

  ExpertBroker JF-Expert Member

  #14
  Nov 23, 2011
  Joined: Jun 1, 2009
  Messages: 454
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  As long as nimeingia mkataba mi ndo Contractor, and so a constructor for that case! It is my company XYZ Construction Company Ltd that constructs, so am the Constructor though I may not show up at the site, only my team is executing the project!
   
 15. E

  ExpertBroker JF-Expert Member

  #15
  Nov 23, 2011
  Joined: Jun 1, 2009
  Messages: 454
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Nafikiri watu hawaijaielewa hoja
   
 16. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #16
  Nov 23, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,061
  Likes Received: 3,089
  Trophy Points: 280
  Waliotangulia wametupa maukweli kwa maana tofauti hapa ni kwamba kisheria kuna mtu anatakiwa kusaini mkataba ili akabidhiwe kazi,huyu ndo contractor na si lazima contractor asimame mwenyewe site bali anaweza kuhire mtu mwingine atayemtaka ili aifanye ile kazi chini ya maelekezo ya contractor,sasa huyu mteule ndo kwa maana hyo atajenga mradi huo inamaana yeye ndo mjenzi ama constructor lakini mwenye nguvu kisheria madhani ni yule aliyesaini mkataba hata kama atahire mtu wake na ndivyo inavyokuwa mara nyingi
   
 17. RR

  RR JF-Expert Member

  #17
  Nov 23, 2011
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,720
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 160
  Sio kosa kusema ama kutumia neno Contractor, as such ni sahihi zaidi ya kutumia neno Constructor....

  Mkandarasi (Contractor) ni Mjenzi (Constructor) anayetekeleza mkataba fulani.....hapa tunaongelea muktadha wa mkataba wa ujenzi.
  Katika hatua za awali (pre contract), wajenzi (constructors) wanapoomba kazi huitwa wazabuni (tenderers/bidders)!

  Neno Contractor limetawaliwa zaidi ya watekelezaji ujenzi kwa sababu utekelezaji wa miradi ya ujenzi huchukua sehemu kubwa sana ya mikataba mingi.....

  Imekua ni mazoea, na mazoea ni kama sheria....

  Hata CRB (kwa Tanzania) inaamaanisha Contractors Registration Board na sio Constructors Registration Board!
   
 18. K

  Kamuzu JF-Expert Member

  #18
  Nov 23, 2011
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 998
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  Safi sana, umenikumbusha - career call for kariakoo, caw way for kawe, many mangos for manerumango, musa hassan for msasani, zangueba for zanzibar, etc,etc.
   
Loading...