Nnanunua Copper ore

Chipukizi

JF-Expert Member
Mar 12, 2009
2,774
2,000
Wadau nipo Dar,nna nunua idadi yeyote ya copper ore.mwenye mzigo ani pm bei kwa tani.
 

Amalinze

JF-Expert Member
May 6, 2012
6,730
2,000
unachukua % kuanzia ngapi ya cu? Je % ya othef metal iwe ngapi? weka full specs tufanye bizne$$.
 

Chipukizi

JF-Expert Member
Mar 12, 2009
2,774
2,000
unachukua % kuanzia ngapi ya cu? Je % ya othef metal iwe ngapi? weka full specs tufanye bizne$$.
Nachukua kuanzia 7% cu,ntafurahi pia kama ntapata sample report au sample ya kutest
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom