Nnaishi nyumba ya kupanga nahitaji satelite Dish

Nnaishi nyumba ya kupanga nahitaji satelite Dish

famba

Member
Joined
Mar 21, 2013
Posts
71
Reaction score
4
Habari wana JF, Nimepanga. Naweza nikapata Satelite Dish ambalo ni dogo kwa nyumba zetu hizi za kupanga? Nataka nione chaneli za bure ambazo kwenye ving'amuzi mpaka ulipie ndio uzione. Sihitaji Dstv.
 
Back
Top Bottom