Kama unataka mpya si uende madukani?,au maduka wanayouza friji huyajui au hua huyaoni?Npo dar; kkoo/kigamboni nnahitaji friji BOSS mpya/isiwe used hata kama sijui japan; size ya kati milango miwili juu frezer... Budget 400000. Kwa mwene biashara niPM. Asante.