nna mpenzi lakini nampenda msichana mwingine. nifanyaje???

wanaume suruali tumekua wengi kweli......hat akwenye mambo ya msingi kama hayo mtu anashindwa kuyafanyia maamuzi baadae tukija kumpa wizara si anatumaige tu uyu..............mi staki bana aah!!
 
unda evaluation team mana inaonekana hauwezi kutoa maamuzi juu ya furaha ya moyo wako.
 
kaka her kupendwa kuliko kupenda,plz jxt endelea na galfriend wako anaekupenda coz utakuja kujut badae,usiwasikilize hao wapuuz wanaokwambia eti 2 in 1
 
penda ujapopendwa, utajapenda usipopendwa........ Ndege mkononi anathamani ya wawil kichakani....nilkuwa najarbu kuwakumbuka wazee
 
Ckiza........huyo unayesema unapenda naye atakwambia sku moja anampenda mwingine, boresha ulicho nacho ukipende vyema, ndicho kikufaacho maishani kama nacho kinakupenda
 
nenda kapime kwanza... mahusiano ya siku hizi ni kama network ya friends ya facebook... wakati unayafiktambua kuwa na wenzio wote wawili wanasema hayo hayo... mpo wengi... kama umeshindwa kuoga na kutakata kwenye mto utaweza kwenye kisoda??
 
Acha tamaa hivi unafikiria zinatofautiana sana,engine ni ileile unachotaka ku-change hapo ni body tu.:lock1:
 
Mkalishe chini huyo anayekupenda, mwambie huna feelings naye; usiwachanganye, usimpotezee muda na wala usinkill softly if l may borrow Bishanga's words.

Then mfukuzie huyo unayempenda, akikutenda njoo utuombe ushauri au utusimulie!
 
Back
Top Bottom