nna mpenzi lakini nampenda msichana mwingine. nifanyaje???

hivi jamani duniani ni wawili wawili kweli? mbona sielewi/nna mpenzi ananipenda sana ila mm nimetokea kumpenda msichana mwingine mpka nashangaa sijui nifanye nn.msaada plz:A S embarassed::A S embarassed:

Wewe una mpenzi mmoja tu! huyo wa pili yeye ndie anaeweza kukuita mpenzi. Sasa jiangalie unataka kupendwa au kupenda??????
 
hivi jamani duniani ni wawili wawili kweli? mbona sielewi/nna mpenzi ananipenda sana ila mm nimetokea kumpenda msichana mwingine mpka nashangaa sijui nifanye nn.msaada plz:A S embarassed::A S embarassed:

kama utakuwa makini na ulicho kiandika unaweza ukawa umegundua kwamba unaanza mambo ya mrisho mpoto mama alipotumia jibu kuuliza swali. we umesha twambia una mpenz ana kupenda lakn unampenda mtu mwingine, kwa hiyo hapo umeshajua cha kufanya, ulifanya maamuzi muda mrefu bila kujua.
 
Ukimimpenda naye hakupendi, anakuchuna kisha anampenda naye mtu mwingine ambaye naye hampendi hivyo mwingine nae atampenda mtu mwingine ambaye naye atamgonga/kugongwa mwisho wa siku kitu paaaaah mwafa!!!!!

Hewalaaa, hapo umenena ipasavyo!
 
me nnampenda huyu mwingine ila mpnz wangu ananipenda sana

Fuata moyo wako jibaba. Usishangae kupendwa kwani kuna wengine wanapenda for the wrong reasons. Toa uamuzi wako mapema usije kuwachanganya na kujikuta pabaya. Chunga sana manake infatuation makes people go to the extreme to justify their cause. Hatari, mbwa mkali.
 
umesema una mpenzi anaekupenda sana ila wewe unampenda mwingine,hivi umeshafikiria huyo unaempenda sana naye anampenda mtu mwingine??unafikiri mambo ni mteremko enh?ukimwacha mpenz wako then ukaenda kwa huyo mwingine yatakayo kukuta huko utatuletea hapa Jf tukushauri
 
hivi jamani duniani ni wawili wawili kweli? mbona sielewi/nna mpenzi ananipenda sana ila mm nimetokea kumpenda msichana mwingine mpka nashangaa sijui nifanye nn.msaada plz:A S embarassed::A S embarassed:

hlo ni pepo la ngo.no tena likemee lishindwe kwa jina la Yesu.hapo kuna m1 ndo unampenda na mwingne unamtamani!
 
Komaa nao hivyo hivyo itafahamika tu mbele ya safari ila meanwhile play it cool.
 
hivi jamani duniani ni wawili wawili kweli? mbona sielewi/nna mpenzi ananipenda sana ila mm nimetokea kumpenda msichana mwingine mpka nashangaa sijui nifanye nn.msaada plz:A S embarassed::A S embarassed:

i have read between the lines and i have 2 observations;
1. bold 1--the notion has an historical background as far as christianity as concerned. what about muslims who have a room to marry up to four? will the notion of "wawiliwawili" hold?
2. bold 2--how sure you are that anakupenda? how do we measure upendo? there is one thing that kupenda and cheating are two things different thats why hata wewe unampenda huyo demu wako but u have sadly fallen to a street bitch, tamaa tu hizo????
 
wewe unaonekana hujui unachotaka...pindi ukijua huwezi uliza swali kama hili,mbona hutuulizi leo mchana ule ugali samaki au chips mishikaki? khaaa
 
i have read between the lines and i have 2 observations;
1. bold 1--the notion has an historical background as far as christianity as concerned. what about muslims who have a room to marry up to four? will the notion of "wawiliwawili" hold?
2. bold 2--how sure you are that anakupenda? how do we measure upendo? there is one thing that kupenda and cheating are two things different thats why hata wewe unampenda huyo demu wako but u have sadly fallen to a street bitch, tamaa tu hizo????

dawa ya híi tamaa ni nn bas?Nitumbue kote au?
 
dawa ya tamaa yangu ni nn! Au ni tumbue wote nn
 
dawa ya tamaa yangu ni nn! Au ni tumbue wote nn[/QUOT

CONCENTRATE TO THE FIRST ONE UNAYEMPENDA. HUYO WAPILI ANAKUPENDA BUT HAIHUSU WEWE KUMPENDA ACHANA NAE. ANGALIA UPENDO WAKO, HAKUNAGA MAMBO YA KUPENDAPENDA WANAWAKE HOVYO, PENDA MMOJA SAKA PESA TULIENI NJENGE LIFE.
 
Back
Top Bottom