Nmeombwa ruswa TAKUKURU nikaripoti wapi?

Nmeombwa ruswa TAKUKURU nikaripoti wapi?

rushwa ni hali ya kutumia ofisi ya umma kwa mafufaa binafsi. kutongozwa si rushwa ila kama unataka huduma fulani kwenye ofisi ya umma na unawekewa mazingira magumu kwa lengo la kutaka penzi hapo ni kujaribu kuomba rushwa na kama ukapewa/ukatoa penzi kwa lengo la kupata hiyo huduma hiyo ni rushwa. hii ni jamiiforums bwana intelejensia yake kali ogopa. kuhusu post zangu ni kuwapa watu uwanja mpana wa kutafakari faida na hasara au ukweli halisi na uongo tu siyo kila mtu aseme ndiyo kama kipima joto cha itv.
 
kama ni HOSEAH kamripoti M4C au kwa jk...kama ni mfanyakaz mwngne mripoti kwa ofisa aliyejuu yake....pga
113 bure!
 
Rushwa Grace ni lazima tutoe
  • km Traffic kanikamata na kweli nina makosa na chombo changu pia hakina Bima NITATOA RUSHWA
  • Mke wangu yupo Leba anashindwa kujifungua anahitaji Operesheni kubwa na kuongezewa damu NITATOA RUSHWA
  • Nina Kesi Mahakamani na kweli niligonga nyumba ya watru nikiwa nimelewa Hakimu akiomba NITATOA RUSHWA
  • Bosi wangu kanikanyagia Mke wangu na bado anamuomba na hela ili akasome nitaenda Takukuru ili wamkamate NITATOA RUSHWA
  • @Grace aliyejaaliwa nikilimaind Bambata lake ili anikubalie nitatoa mpunga (NITATOA RUSHWA) kwani amejaaliwa kwa NEEMA tu na sio awanyime watu km sisi au kutuuzia kwani tunapita tu kumuachia mwenye mzigo wake wa kila siku aliyelipia mahari (RUSHWA)
 
Mwenyewe ulikua na wazo gani. Ama unatafuta bwana humu jamvini ? Nenda Meeda au Sanciro shekilango

Akili yako ya kufikiri ushauri wa kumpa imeishia hapo? Haijatokea hata siku moja kwenye jukwaa hili ukawa na point ya kumshauri mtu. Tatizo ule ugonjwa wako uliokuwa ukitibiwa kwa mganga wa kienyeji naona hujapona
 
Akili yako ya kufikiri ushauri wa kumpa imeishia hapo? Haijatokea hata siku moja kwenye jukwaa hili ukawa na point ya kumshauri mtu. Tatizo ule ugonjwa wako uliokuwa ukitibiwa kwa mganga wa kienyeji naona hujapona

asante ndugu kumbe hapa kuna watu wachache wenye busara kama wewe
 
Back
Top Bottom