Nmekosea kujaza mtaa kwenye form yang ya mkopo nifanyaje

juliusJr

Senior Member
Jul 14, 2016
180
61
Jaman wanajamvi naomben msaada nmekosea kuandika Jina la mtaa kwenye form yangu ya mkopo je nifanyeje maana baada ya kuandika mtaa nmeandika ile sehem mfano banana instead of kitunda je apo itakua VIP?
Nawasilisha I need your help pals
 
Mnajaza server kwa maulizo ya kijinga na kitoto kabisa. Hivi kwanini usiwafuate ukawaambia? Yaani ninyi wadogo zetu wa miaka ya tisini na elfu mbili mnakera. ...
 
Back
Top Bottom