Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,146
- 13,216
Hivi hatuwezi kutoa tathmini ya jambo mpaka tuelekezwe na waandishi wa habari ambao tayari ni washabiki wa timu fulani? Kuweka kambi ni jambo zuri, maana timu inapata wasaa kuwa na wachezaji wake muda wote, kadhalika wao kuwa pamoja muda wote. Kwa hivyo akili yao yote inakuwa kwenye mpira, tofauti na wanapotokea vijiweni. Kila kambi ikiwa na huduma muhimu, ikiwa mbali zaidi na wanakotokea wachezaji, ikiwa ya muda mrefu zaidi, n.k. ndio bora zaidi. Kucheza ama kutocheza mechi za kirafiki si lazima, wala matokeo ya mechi hizo hayawi kigezo cha mafanikio ya kambi hiyo. Mwalimu na dawati lake la ufundi ndiye anayejua iwapo kambi hiyo imefikia matarajio yake.
Bila ya kuingiza ushabiki, kambi ya yanga ina mazingira bora, iko mbali na nyumbani na wana muda mzuri kabla ya ligi. Kasoro pekee ni tofauti ya mazingira, hasa hali ya hewa baina ya huko na huku. Lakini hilo haliwezi kuwa tatizo kwa sababu wachezaji wenyewe wameshaozowea hali ya hewa ya kwao. Swala la mechi za kirafiki si muhimu. Mbona wapenzi wa timu za Ligi Kuu hawazinangi timu zao zinapoweka kambi, kufanya ziara na kucheza mechi za kirafiki na nchi/timu vibonde za China, Thailand, Hong Kong na kwingineko? Waalimu huwa wana kitu wanatafuta, sio kushindana nani kamfunga yupi mangapi.
Tuwe realistic, siungi mkono kwa stardanrd na financial ca[acity ya timu zetu iwe simba, yanga hata hap Cpastal walioko Oman, lets be very objective here;
- Kulikua na haja gani kwenda mbali kote huko (something hidden!!??)-tumetoka kuambiwa licha ya kuongoza kwa mapato lakn Yanga imu inaendeshwa kwa hasara
- Hapo kwa Mwalimu yupi? HIVI INAINGIA AKILINI KWELI KWAMBA TIMU INAENDA KUWEKA KAMBI BILA MWALIMU? (definitely naamini hatuta argue uwepo wa Boniface)
- Hiyo uliyoweka kama kasoro ndiyo inafilisi hoja nzima, kuweka kambi mahali unatakiwa uwe very objective as well, why kuweka kambi mahali ambapo huenda hali yake ya hewa itaswihi mechi moja tu na Mbeya City? (oooooooppsss...nimesahau kumbereturn leg ya mechi hiyo inafanyikia Dar) na hata kama ni kwa ajili ya wacomoro bado haingii akilini
- Nashawishika kuamini kwamba kuna kitu zaidi ya mazoezi wamefuata huko- hii iliwahi kutokea hata kwa Simba walipoenda Nice