big man 26
Member
- Aug 18, 2017
- 10
- 2
Tupo pamoja
samahan wadau mimi nmechaguliwa udom education lakin siipend nmben ushaur wa coz zngne au namna nyngne
Hapendi course ya education mkuu sio chuoUnaijua Udom wewe au unasikia maneno ya mitandaoni ? , ni chuo kizuri kuanzia mazingira mpaka taaluma , Nina uhakika ukifika Udom hautajuta kama kuhama ndani ya udom kwenda kozi unayoipenda inawezekana kabisa
asantesikushauri ukapoteze miaka mitatu bure.... course yenyewe education ? huoni wenzio wako bench tangia 2015? na mpaka sasa hawaijui hatma yao ? tumia ubongo kufikiria na sio makalio....
Kwa kuwa utaratibu unataka uchague kozi zisizopungua 5 kwa kujaza kwa vipaumbele, na wewe ukaingia mkenge ukachagua kozi 5 wakati zingine huzitaki...siku nyingine chagua kozi hata kama ni 3 ambazo unazipenda alafu hizo 2 hujazi kwa kuwa sio mtihani (alafu unasubiri kwanza kisha ukiona hujachaguliwa ndio unarudi kwenye chaguzi hizo ambazo huzipendi)
nlifanya ivo nlipokosa nkaona nijaze ivo tuuKwa kuwa utaratibu unataka uchague kozi zisizopungua 5 kwa kujaza kwa vipaumbele, na wewe ukaingia mkenge ukachagua kozi 5 wakati zingine huzitaki...siku nyingine chagua kozi hata kama ni 3 ambazo unazipenda alafu hizo 2 hujazi kwa kuwa sio mtihani (alafu unasubiri kwanza kisha ukiona hujachaguliwa ndio unarudi kwenye chaguzi hizo ambazo huzipendi)