Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,319
- 15,808
Hongerq sana NMB na CRDB mashirika mengine ya serikali igeni hawa magiant wawili kwenye utendaji.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki hafla ya NMB kukabidhi Gawio kwa Serikali na kusherekea Miaka 25 ya Safari ya Mafanikio ya Benki ya NMB katika Ukumbi wa Mlimani City leo 17 Juni, 2023.
Gawio tang awamu iliyopita ilikua lazima hata kama sekta haija perform ililazimu wakakope ili kumfurahisha mtawala!!Huu ni upuuzi kama mwingine unaofanywa na viongozi inept
Bilion ngapi wametoa?Hongerq sana NMB na CRDB mashirika mengine ya serikali igeni hawa magiant wawili kwenye utendaji.
Hongera pia serikali mnapata magawio bila kulazimishana.
Hiyo shule ya bilioni 2.5 ijengwe katikati ya nchi 'Dodoma' ili ifikike kirahisi na wananchi kutoka kila pembe...wanasiasa wasije jipendelea maeneo waliyozaliwaRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki hafla ya NMB kukabidhi Gawio kwa Serikali na kusherekea Miaka 25 ya Safari ya Mafanikio ya Benki ya NMB katika Ukumbi wa Mlimani City leo 17 Juni, 2023.
Akizungumza kwenye halfa hiyo, Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB Ruth Zaipuna amemshukuru Rais kwa kuhuduria na kupokea gawio kwa Serikali kutoka Benki hiyo.
Katika kipindi cha miaka 25 ya Benki hii, ilianza kama Benki ndogo ikiwa na mtandao wa matawi 97 nchini bila kuwa na ATM wala mawakala.
View attachment 2660342
Ruth Zaipuna, Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMBMwaka 2005, Serikali ya Tanzania ilibinafsisha kwa kuuza hisa ya 49% na mwaka 2008 ilipunguza kisa zake zingine na kufanya iorodheshe kwenye soko la hisa la Dae es Salaam ikiwa na hisa 31.8%
Sasa ina matawi 227 Nchini, ATM 781, Mawakala 23679 na Akaunti Milioni 6.3 Nchi nzima. Hii inafanya kuwa benki yenye akaunti nyingi zaidi kuliko benki zingine Tanzania na Mwaka 2022 pekee, benki hii ilisajili akaunti mpya milioni 1.2.
Benki hii itatoa gawio la Bilioni 45.5 kwa Serikali na tayari imeshawekwa kwenye Akaunti ya hazina na kwa ujumla, bilioni 143.1 zimetolewa kwa wanahisa wote mwaka huu.
Aidha, kwa mwaka 2022, NMB imelipa kodi ya tsh bilioni 453 Serikali.
Katika kusherekea miaka 25 ya Benki hii, Zaipuna amesema tayari Bilioni 2.5 kujenga shule ya mfano kwenye mkoa na eneo atakalopendekeza Rais Samia.
Safi sana,matokeo ya faida walivyopata baada ya mazingira mazuri ya biashara yaliyowekwa na awamu ya 6..Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki hafla ya NMB kukabidhi Gawio kwa Serikali na kusherekea Miaka 25 ya Safari ya Mafanikio ya Benki ya NMB katika Ukumbi wa Mlimani City leo 17 Juni, 2023.
Akizungumza kwenye halfa hiyo, Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB Ruth Zaipuna amemshukuru Rais kwa kuhuduria na kupokea gawio kwa Serikali kutoka Benki hiyo.
Katika kipindi cha miaka 25 ya Benki hii, ilianza kama Benki ndogo ikiwa na mtandao wa matawi 97 nchini bila kuwa na ATM wala mawakala.
View attachment 2660342
Ruth Zaipuna, Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMBMwaka 2005, Serikali ya Tanzania ilibinafsisha kwa kuuza hisa ya 49% na mwaka 2008 ilipunguza kisa zake zingine na kufanya iorodheshe kwenye soko la hisa la Dae es Salaam ikiwa na hisa 31.8%
Sasa ina matawi 227 Nchini, ATM 781, Mawakala 23679 na Akaunti Milioni 6.3 Nchi nzima. Hii inafanya kuwa benki yenye akaunti nyingi zaidi kuliko benki zingine Tanzania na Mwaka 2022 pekee, benki hii ilisajili akaunti mpya milioni 1.2.
Benki hii itatoa gawio la Bilioni 45.5 kwa Serikali na tayari imeshawekwa kwenye Akaunti ya hazina na kwa ujumla, bilioni 143.1 zimetolewa kwa wanahisa wote mwaka huu.
Aidha, kwa mwaka 2022, NMB imelipa kodi ya tsh bilioni 453 Serikali.
Katika kusherekea miaka 25 ya Benki hii, Zaipuna amesema tayari Bilioni 2.5 kujenga shule ya mfano kwenye mkoa na eneo atakalopendekeza Rais Samia.
Umewakopesha ngapi kwenye hizi billion 143.1 walizowagawia wana hisa wote?Gawio tang awamu iliyopita ilikua lazima hata kama sekta haija perform ililazimu wakakope ili kumfurahisha mtawala!!
Wajasiriamali na wafanyabiashara wote hu-minimize costs ili ku-maximize profit. That's how it works all-over the world.Wananyonya sana wafanyakazi faida wanagawia serikali. Kumbe kwa mafweza hayo mengi walikuaa wanaweza kabisa kupunguza Riba kwenye mikopo yao
Ndiyo benki pekee nchini yenye wafanyakazi wanaonuna mjuda wote wa kazi kama vile mpo kituo cha polisiRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki hafla ya NMB kukabidhi Gawio kwa Serikali na kusherekea Miaka 25 ya Safari ya Mafanikio ya Benki ya NMB katika Ukumbi wa Mlimani City leo 17 Juni, 2023