NMB wanafanyia wapi Written Interview ya Jumamosi hii?

mimibilly

Member
Aug 1, 2013
35
0
Jana nilisikia kuna watu wamepigiwa simu na NMB Southern Zone kwenda kufanya interview jumamosi.

Concerning yangu venue ya hiyo interview ni wapi?

Kwa aliyepigiwa msaada.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom