NMB/VODA mnatuibia

Hili Mimi limenitokea ..nmb mkononi kwenda Airtel money..yaani nimemaliza hadi kuingiza neno la Siri lakini unaambiwa huduma hakuna lakini pesa imekatwa..hivi hapa nani wa kumuuliza? NMB au AIRTEL?
 
Ongea nao 0800 00 2002
 
Kuna hawa CRDB na voda kwa wizi ni balaa wao wanakata 200, ukitaka kufanya muamala upo kati inakuja sms huduma haipatikani kwa sasa hapo ujue umeshakatwa 200 na haijawahi kutokea muamala ukakamilika mara moja lazima ujaribu mara tatu au nne
Sasa ndugu yabgu, unayaonea bure mabank, hizo tozo zinakatwa na kampuni za simu siyo bank, kama unavyoamini
Zamani line zote zikikuwa bure but walivyoanzisha tozo hizo kampuni za simu ambazo line zao zinatumika kama gateway wakaweka hizo tozo
Hivyo bank haihusiki na hayo makato, njia rahisi ni kuwa na app, bando lako linatumika kuaccess hizo huduma
Kotapini!! (Kuingia kwa nyundo, kutoka kwa nyundo)
 
Inamaana hapa unapost kwa kutumia simu ya tochi?
Hiyo inawezekana mkuu, mimi natumia simu ya tochi (not smart4n) na natamba vizuri tu humu ndani, sema inachosha sana
 
Wanafuata vigezo na masharti, hata makosa huchajiwa...
 
Hivyo bank haihusiki na hayo makato, njia rahisi ni kuwa na app, bando lako linatumika kuaccess hizo huduma
Kotapini!! (Kuingia kwa nyundo, kutoka kwa nyundo)

Kuna NMB app tofauti na hii NMB Mkononi App?

NMB Mkononi App, pesa inakatwa kama kawaida kutoka kwenye simu ukiwa una access huduma kupitia hii app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…