BABA SANIAH
JF-Expert Member
- Oct 20, 2013
- 4,603
- 5,912
Nimefungua junior account tangu 2013 hadi leo sijapewa card,tangu mtoto anatambaa hado leo yupo chekechea mwaka wa pili.
Kama vipi nisepe na mnirudishie mkwanja wangu,acheni kuzingua.
Nawamaindi nyie nmb kwa sana.
Kama vipi nisepe na mnirudishie mkwanja wangu,acheni kuzingua.
Nawamaindi nyie nmb kwa sana.