nmb vip tena leo

Nyanya mbichi

JF-Expert Member
Nov 10, 2011
3,716
2,207
leo morogoro tangu saa tano asubuhi hadi saa kumi kamili jioni hakukuwa na network kwenye tawi la wami na mt ulugulu,tetesi ni kuwa makao makuu kulikuwa na kazi inafanyika na tanzania nzima hakukuwa na network kwa matawi ya nmb je kuna ukweli wowote
 
kawaida yao benki yetu!
 
Back
Top Bottom