A
Anonymous
Guest
Wakuu naomba kujua nini maana ya hii loan top up,, loan take over,, loan reconstruction ?? Mikopo ya taasisi za kama NMB zina riba kubwa sana na imekua vingu kuihamishia kwenye taasisi zingine za kibanki ( kuuza mkopo) na hata ukiitaji kufanya kimoja kati ya hivyo vitatu hapo juu imekua ngumu hasa kwenye reconstruction,,, Mikopo hii haitunufaishi watumiaji