NMB 'pesa fasta' kulikoni?

NMB 'pesa fasta' kulikoni?

Malolella

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2012
Posts
366
Reaction score
114
Habari wana jf. Leo ni siku ya tatu tangu nimetumiwa pesa kwanjia ya NMB pesa fasta. Tangu juzi system inaniambia subiri huduma inashugulikiwa na hakuna kinachoendelea mpaka inajirudi mwanzo. Nimejaribu kuwaona wahudumu wakaniambia network ipo chini. Nikamrushia jamaa yangu alieko mkoani ajaribu naye kakutana na yaleyale. So mpaka leo cjafanikiwa kutoa hiyo pesa. Mwana jf yeyote mwenye uzoefu na taarifa ya NMB pesafasta naomba anijuze.
 
Ina maana toka juzi ATM hazijatoa pesa? Mimi naona si tatizo la system bali matatizo mengine tu ya kiufundi. Hizi huduma zinazotegemea stm imekuwa usumbufu hapa Tnz na wahudumu wake wamekuwa waongo, wakitoa majibu ya ovyoovyo kabiza.
 
Back
Top Bottom