NMB Tanzania
Official Account
- Sep 13, 2014
- 94
- 232
- Thread starter
-
- #21
Mnapoamua kutangaza bidhaa zenu kuweni makini sana na sura/muonekano wa watu mnaowatumia kutangaza kwenye mabango yenu.
Picha zenu nyingi zina watu wenye muonekano ule wa Afrika Magharibi, mnaweza mkaona hiki ni kitu kidoga lakini kina mantika kubwa sana kibiashaara.
Kwenu nmb,nikihatiji mkopo kwa dhamana ya nyumba isiyo na hati inawezekana??
Asante sanaHello Munchamuja
Haya ni baadhi ya masharti.
Karibu sana.
- Copy of your 3 current pay slip/ proof of income –
- Proof of identification – ID of Borrowers – in case of Individual
- Certified copies of 3 months personal bank statements (if new client)
- A letter of reference from your employer that the will channel of salary/ income
- Employment contract letter and application has any pending loan
- Certified copy of title Deed (to facilitate property valuation)
Kwa Mimi sijaajiriwa nahitaji mkopo,nini muhimu chanipasa kuwa nacho??Kwa mkopo wa aina hiyo yakupasa kuwa na hati ya nyumba ndugu Zeus
Nyumba yangu inahitaji kama m12 tu kukamilika ,ntapataje mkopohuo
Mbona nimeingia kwenye hiyo Loan calculator yenu nimejaza kila kitu lkn kila nikituma hiyo message inanitaka nirudie nimerudia zaidi na zaidi hadi nimechoka
Mnatoa mikopo mpaka kiasi gani kwa ajili ya ujenzi wa nyumba
Sory....mtaweka wadada wenye matako makubwa?Wakazi wa Idodomya! mko tayari?
Karibuni kwenye #NMBNyumbaDay tarehe 19 na 20 sept 2018 itakayofanyika katika viwanja vya tawi letu la Kambarage lililopo katika jengo jipya la PSPF ili ujifunze mengi zaidi kuhusiana na mikopo ya nyumba kutoka kwetu na washirika wetu.
Endapo una swali lolote kuhusu mikopo ya nyumba, karibu tukuhudumie kupitia ukurasa huu. #NMBMortgage #NMBKaribuYako
View attachment 870252
Mzee eb acha bangi,kipi usichokielewa hapoSamahani kuna wengine hawataelewa kwa kingereza! Labda ungeweka na tafasiri kwa kiswahili ili iwe rahisi kwa kila mmoja kuelewa.
Karibu katika tawi letu la karibu yako na tutakusaidia ndugu Tembo.Tunafanyaje wengine ambao tutakuwa kwenye kuwajibika na tukakosa wasaa wa kufika huko
MTU mwenye mshahara au kipato cha marejesho ya shingap kwa mwez ndio anaweza kupata mkopo wa nyumba kama hyo
AsanteKaribu katika tawi letu la karibu yako na tutakusaidia ndugu Tembo.
Acheni uongo nyie NMBAsante sana Jumong kwa ushauri wako,
Mkopo unapatikana popote ulipo, kinachotakiwa ni wewe kuja kuonana na wataalamu wetu wa mikopo na watakushauri pia kukufanikishia. Pia kuna kikokotozi kupitia tovuti yetu LINK kitakacho kurahisishia kujua riba, marejesho na kiasi cha kuchukua. Bofya Loan Calculator - NMB Bank Plc. kukokotoa mkopo wako
Karibu sana
Mkuu, wewe uliomba mkopo gani exactly maana unaweza kukuta unalaumu kumbe hamkuelewana tu na afisa mikopoAcheni uongo nyie NMB
Nilikuja kwenye Bank yenu tawi la Sinza-Mori mkanijibu hamtoi mkopo kwa collateral ya office au kwasababu mliniona sina hadhi ya kukopa
Nashangaa hapa mnakuja na vigezo vya salary slip, huu ni utani . Halafu nashangaa zaidi unasema tufike ofisini kwenu kuonana na wataalamu. Wataalamu gani ? Wale walionijibu kuwa hakuna mkopo Wa aina hiyo au wapo wengine.
Niseme tu Hakikisheni mnakuwa na majibu uniform sio wale Wa NMB sinza Mori wanajibujibu tu.