Zee la madawa
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 1,728
- 4,075
Sina mengi kwenye hizi tarehe aisee je NMB mshahara umeingizwa tayari? Au ndiyo bila bila?
DuuuhUpo nchi gani bwashee ,pay is out toka jmos
Umeajiriwa wapiMshahara haujatoka.Na inasemekana Nchi imefilisika kiasi kwamba hakuna hata hele ya kuwalipa wafanyakazi.Mama anahaha auze ardhi ya wapi ili kupata pesa.
Unafanya kazi kwa wahindi labda salary imeshakata tayari wewe unakuja na ngonjera za kijingajingaMshahara haujatoka.Na inasemekana Nchi imefilisika kiasi kwamba hakuna hata hele ya kuwalipa wafanyakazi.Mama anahaha auze ardhi ya wapi ili kupata pesa.