Estone JF-Expert Member Joined Feb 6, 2012 Posts 629 Reaction score 647 Jul 31, 2020 #21 Siyo kweli ila ni 16% Crdb wanakwambia ukitaka pesa kubwa inaenda mpaka miaka saba ukisema punguza miaka utaambia punguza kiwango cha mkopo badala ya kuongeza makato kwenye salary
Siyo kweli ila ni 16% Crdb wanakwambia ukitaka pesa kubwa inaenda mpaka miaka saba ukisema punguza miaka utaambia punguza kiwango cha mkopo badala ya kuongeza makato kwenye salary
Msingida JF-Expert Member Joined Dec 1, 2010 Posts 10,569 Reaction score 12,208 Jul 31, 2020 #22 Allan Clement said: 17% Click to expand... + processing fee ndio majanga zaidi