Habari Jf.
Nimekuwa nikisikia watu wanaongelea wizi unaofanywa na NMB kwa wateja wake kupitia akaunti zao nikawa siamini.
Nimejaribu kufuatilia kwenye akaunti yangu nimegundua hawa NMB wanachukua pesa pasipo na utaratibu wowote.
Kwa mfano ukiwa na 25,000 baada ya wiki utakuta umebakiwa na 23,000
Naomba mwenye tatizo kama langu la kuibiwa na NMB tujitokeze tutafute wataalamu wa sheria tuwashtaki hawa watu.