Tangia asubuhi na mapema leo najaribu kufanya miamala kupitia huduma ya NMB MKONONI bila mafanikio na namba za huduma kwa wateja hazipokelewi. Je kuna anae experience hili tatizo au ni mimi tuu?
Na kama kuna tatizo mbona hawaarifu wateja wao ukizingatia kipindi hiki cha covid-19 tunashauriwa tutumie cashless services? NMB kunani? NMB Tanzania kuja hapa.
hawa jamaa hawako serious kabisaMbaya zaidi kuna makato kila ukingia kwenye account. Unajibiwa transaction failed, try again lallter"
Sent using Jamii Forums mobile app
Kadi yako ya bank unayo?wakuu naomba msaada je kampuni yeyote ya mikopo inaweza kuchukua makato kutoka benki bila ridhaa yako na kivipi inawezekana wakati a/c ya mtu ni yake binafsi?!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata Simbanking CRDB imezingua Sanahawa jamaa hawako serious kabisa
Hiyo mtakuwa mlikubaliana kwenye mkataba wakati unachukua mkopowakuu naomba msaada je kampuni yeyote ya mikopo inaweza kuchukua makato kutoka benki bila ridhaa yako na kivipi inawezekana wakati a/c ya mtu ni yake binafsi?!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Boss hilo ni tatizo tembelea tawi lililopo karibu yakowakuu naomba msaada je kampuni yeyote ya mikopo inaweza kuchukua makato kutoka benki bila ridhaa yako na kivipi inawezekana wakati a/c ya mtu ni yake binafsi?!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Na kama yuko mbali na tawi? Nini maana ya kuwa na online services?
wakuu naomba msaada je kampuni yeyote ya mikopo inaweza kuchukua makato kutoka benki bila ridhaa yako na kivipi inawezekana wakati a/c ya mtu ni yake binafsi?!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Magu keshafanya yake tangu jana, salary advance ya nini tena?NMB wamechoka Sana. Hata salary advance leo cheche tangu saa 12 asubuhi
Sent using Jamii Forums mobile app
Katika experience yangu ya benki za ndaniHii banki wakubwa sio kabisa. Wafanyakazi wake wana nyodo sana . Wanatengeneza sana mazingira ya rushwa rushwa kiujumla ni wapuzi. Naomba wataalamu muweke utaratibu wa kuhamisha account za mishahara kutoka bank moja kwenda nyingine unakuwaje niwahame hawa washenzi.
Sent using Jamii Forums mobile app