NMB Mbagala, Poor service mtu unasimama kwenye foleni zaidi ya Lisaaa limoja teller mmoja, Vyumba vingine hakuna huduma, Sasa manager sijui hii resources ya staff anaitumiaje, nyingine Closed, Uchumi utakuwa kweli kwa namna hii? Just pissed……
Pole sana Mkuu. Hapo Mbagala Branch hawapo serious. Wana wateja wanatoka hadi Mkuranga Vikindu ila hawapo serious kabisa. Subiria mwisho wa mwezi foreni kwenye izo ATM zao Hapo.
Nenda branch ya tandika Mkuu hapo miyeyusho sana yaani Kuna mdada mmoja ana kaaga hapo ndani meza ya kwanza nilizinguana nae eti ataki niongee na simu ndani kwani mie mwizi wakati mie nimekuja kutoa pesa zangu nisepe wanazingua sana hapo

Kuna dada pale enzi za korona alikua mjamzito alikua na mafua mazito. Alikua na roho mbaya hadi wateja wakawa wanamkwepa. NMB baadhi ya watu hawaitaki kabisa
Kuna dada pale enzi za korona alikua mjamzito alikua na mafua mazito. Alikua na roho mbaya hadi wateja wakawa wanamkwepa. NMB baadhi ya watu hawaitaki kabisa
Nmb wajirekebishe.kika siku wanasema wamepata faida kibao ila wateja wanatutreat kama mbuzi.kweli wamekosa hela za kununua vitu kwanza.unakaa kwa foleni Hadi unazimia.mbona crdb kuna viti?tutahamia equity bank sasa