Hivi TRA mna habari?
Bank ya NMB imefanya mabadiliko katika charges mbalimbali inazotoza wateja katika Huduma zake ambapo pamoja na mambo mengine kuanzia mwezi April 1,2011 kila mteja wa atakayetuma/kuweka pesa kwenye Account ya NMB ya mtu mwingine atagharamia Shillingi 100,aidha hakuna gharama itakayotozwa kwa kwa mteja kuweka/kutuma pesa kwenye Akaunti yake binafsi.
NMB wanaweza wateja Shs.1000 bila kuwapatia Risiti na hivyo kukwepa kodi ya ongezekeko la Thamani VAT na mengineyo.
Tunaomba NMB watoe Risiti kwa Tsh.1000 wanayotoza wateja au TRA watuambie kwamba wamewasamehe VAT kwenye Huduma hiyo!
Nawasilisha kwa mjadala zaidi

Alichofanya yeye ni kama kufungua mjadala. Na si kutafuta kushambuliwa.Hoyaa, umekurupuka kutokea wapi? Habari kama hizi ambazo huna ujuzi nazo ukizileta humu, jaribu japo kuzifanyia kautafiti kadogo. Toka lini ulitozwa VAT kwenye huduma za Bank?
Halafu mara 100 mara 1000?
Wacha kukurupuka na ili mradi ubandike tuu nyuzi tuu hapa. Kaa hauna cha kubandika ufanye kama mimi nakwenda kuleee jukwa la wakubwa, kule ndio tunabandika mpaka maharo.
Labda tu mie niulize kwanini wanatoza hiyo shilingi 1,000/= kwa mtu anayetumuma/kutumiwa akaunti ambayo sio binafsi? nini mantinki yake??