Nmb kuinyima tra mabillion ta shillingi ya kodi !

saggy

Senior Member
Nov 12, 2008
153
70
Hivi TRA mna habari?

Bank ya NMB imefanya mabadiliko katika charges mbalimbali inazotoza wateja katika Huduma zake ambapo pamoja na mambo mengine kuanzia mwezi April 1,2011 kila mteja wa atakayetuma/kuweka pesa kwenye Account ya NMB ya mtu mwingine atagharamia Shillingi 100,aidha hakuna gharama itakayotozwa kwa kwa mteja kuweka/kutuma pesa kwenye Akaunti yake binafsi.

NMB wanaweza wateja Shs.1000 bila kuwapatia Risiti na hivyo kukwepa kodi ya ongezekeko la Thamani VAT na mengineyo.

Tunaomba NMB watoe Risiti kwa Tsh.1000 wanayotoza wateja au TRA watuambie kwamba wamewasamehe VAT kwenye Huduma hiyo!

Nawasilisha kwa mjadala zaidi
 
Kwa msaada tu kaka ni kwamba sheria ya vAT imegawanyika katika makundi ya exempt suppy, zero rated supply na standard rate supply. Financial services/Finacncial institution zipo kwenye exempt supply kwa mujibu wa sheria ya VAT ya 1997. Kwa mantiki hiyo NMB haina obligation ya kutoza VAT wala kutoa VAT risiti katika biashara yake ya banking services...Nawakilisha
 
Hivi TRA mna habari?

Bank ya NMB imefanya mabadiliko katika charges mbalimbali inazotoza wateja katika Huduma zake ambapo pamoja na mambo mengine kuanzia mwezi April 1,2011 kila mteja wa atakayetuma/kuweka pesa kwenye Account ya NMB ya mtu mwingine atagharamia Shillingi 100,aidha hakuna gharama itakayotozwa kwa kwa mteja kuweka/kutuma pesa kwenye Akaunti yake binafsi.

NMB wanaweza wateja Shs.1000 bila kuwapatia Risiti
na hivyo kukwepa kodi ya ongezekeko la Thamani VAT na mengineyo.

Tunaomba NMB watoe Risiti kwa Tsh.1000 wanayotoza wateja au TRA watuambie kwamba wamewasamehe VAT kwenye Huduma hiyo!

Nawasilisha kwa mjadala zaidi

Kwenye nyekundu hapo sijaelewa, kwani zamani walikuwa wanacharge mteja kuweka pesa kwenye akaunti yake? Hiyo bluu hebu eleza vizuri maana sentensi imekaa kimshazali haieleweki kabisa.
 
Hivi TRA mna habari?

Bank ya NMB imefanya mabadiliko katika charges mbalimbali inazotoza wateja katika Huduma zake ambapo pamoja na mambo mengine kuanzia mwezi April 1,2011 kila mteja wa atakayetuma/kuweka pesa kwenye Account ya NMB ya mtu mwingine atagharamia Shillingi 100,aidha hakuna gharama itakayotozwa kwa kwa mteja kuweka/kutuma pesa kwenye Akaunti yake binafsi.

NMB wanaweza wateja Shs.1000 bila kuwapatia Risiti na hivyo kukwepa kodi ya ongezekeko la Thamani VAT na mengineyo.

Tunaomba NMB watoe Risiti kwa Tsh.1000 wanayotoza wateja au TRA watuambie kwamba wamewasamehe VAT kwenye Huduma hiyo!

Nawasilisha kwa mjadala zaidi

Hoyaa, umekurupuka kutokea wapi? Habari kama hizi ambazo huna ujuzi nazo ukizileta humu, jaribu japo kuzifanyia kautafiti kadogo. Toka lini ulitozwa VAT kwenye huduma za Bank?

Halafu mara 100 mara 1000?

Wacha kukurupuka na ili mradi ubandike tuu nyuzi tuu hapa. Kaa hauna cha kubandika ufanye kama mimi nakwenda kuleee jukwa la wakubwa, kule ndio tunabandika mpaka maharo.
 
ndugu yangu .... kuweka na kutoa fedha bank siyo kufanya biashara....! hivyo haukatwi kodi ya aina yeyote
 
Hoyaa, umekurupuka kutokea wapi? Habari kama hizi ambazo huna ujuzi nazo ukizileta humu, jaribu japo kuzifanyia kautafiti kadogo. Toka lini ulitozwa VAT kwenye huduma za Bank?

Halafu mara 100 mara 1000?

Wacha kukurupuka na ili mradi ubandike tuu nyuzi tuu hapa. Kaa hauna cha kubandika ufanye kama mimi nakwenda kuleee jukwa la wakubwa, kule ndio tunabandika mpaka maharo.
Alichofanya yeye ni kama kufungua mjadala. Na si kutafuta kushambuliwa.
 
Kutotoa risiti haina maana kuwa haulipi kodi, paper trail ya benki ni kubwa sana, hauwezi kukwepa kodi kwa kutotoa risiti tu.
 
hiyo sh 1000 inakwenda kuongeza revenue ambayo baada ya makato yote kuna corporate tax which stands at 30% so hamna haja ya kutozwa kodi nyingine.
nawasilisha
 
Labda tu mie niulize kwanini wanatoza hiyo shilingi 1,000/= kwa mtu anayetumuma/kutumiwa akaunti ambayo sio binafsi? nini mantinki yake??
 
This is just simple common sense, you may correct me if im wrong.

Nmb ina mtandao mkubwa wa matawi yake ambayo yamesambaa kote nchini. Hiyo ndiyo strength iliyonayo. Na ukiangalia kwa haraka kuna ushindani kati ya hizi mobile money transfer kama M-pesa ambazo kiuhalisia huduma ile ilikuwa inafanywa na benki. Hivyo mabenki yamekuwa yakikosa additional revenues kutokana na service yao kuingiliwa na mobile money transfer services. Ni njia ya kulinda market share.
Thanks.
 
Back
Top Bottom