Yule mama meneja pale amefariki ghafla alikuwa mtu safi.Weeee Wewewewe, vijamaa vya kariakoo vinaomba rushwa balaa, niliwahi kuvishitakia kwa meneja wao mwanamke akasema atawaonya baadaye file likatupwa nje, NMB Riba yao mkombozi lakini kupata mkopo bila rushwa bora ukalale utupu barabarani. lakini siku hizi vi-benki vyote viko hivyo kasoro ACB ndio wamekomesha, kuna Advance, ACCES Lumumba hawa balaa, matangazomengi lakini rushwa wako mbele, ukichukua mkopo wanatoka nje kukuwinda pale Riki hotel, alafu wanajifanya mkurugenzi anataka maji ya kunywa , kikawauliza kiasi gani eti laki mbili nikawapa 150,000 kwa kupata 1,500,000.00 mwezi uliofuata nikachelewesha siku moja makusudi, simu zilipigwa kama mvua.
Wakati mwingine ni bora kukaa kimya kuliko kujidhalilisha.Wewe ni muongo hakuna benki inatoa mkopo wa laki tano mpkaka milioni moja, tena eti umeweka hati a nyumba unajua gharama za kusajili hati ya nyumba ili ichukuliwe na bank we ni punga, utakuwa ulienda saccos ya wanyiha wenzio huko mbozi,
Hili nilijaribu kwenda kwa Loan Manager ofisi yake inatazamana na ofisi ya huyu dada Elice. Nilipo mwambia suala la kuchelewa kujibiwa maombi yangu ya mkopo ili hali wana Hati yangu ya Nyumba! Alisema nirudi kwa Officer wangu.
Manager niliyemkuta ni mzee mweusi hivi ana lafudhi ya kinyakyusa.
mkopo wa milioni moja, mkopo wa laki tano unaenda bank ya NmB, duh, watanzania wana shidaaaaa, hiyo hela si ungekopa hata kwa rafiki yako tu jamani. pengine nmb wameona ni hasara, mikopo midogo hiyo hawawezi kukuthamini kwasababu una faida kidogo sana kwao ndio maana unaona kama wanakuonea. nenda saccos au upatu wa mtaani huko au weka hela kwenye kibubu, laki tano haustahili kwenda kukopa bank. tuache utani jamani. hata milioni moja au mbili unaenda bank? hizo hata waendesha bodaboda wanazo majumbani mwao, kwanini mnapenda kunia madogo kiasi hicho, think big, act big....alaaa.
kwenda bank Kwa nchi hii ni ujinga. tenant Kwa hela ndgo. 5mil kushuka do not borrow. na usikoppe Kwa kusolve Shida ya Biashar kopa Kwa ssbb maalum.
tumia muda wa kutosha kujitafakar na fikir juu ya riba riba riba.
Yule mama meneja pale amefariki ghafla alikuwa mtu safi.
Nmb karibia wote, mimi niliwahi omba laki tano bado wakaomba chochote, na wana kawaida ya kugomea, kuchelewa kutoa mkopo hadi uwape chochote. Wapo wanaoshirikiana na meneja wao, na pia meneja wengi wana kawaida ya kuficha uchafu unaofanywa na hawa vijana kuogopa kuchafua jina la benki. Ushahidi ninao, jina la meneja ninalo, jiba la loan ofiicer ninalo, jina la teller mwizi ninalo, jina la anayetangaza salio la wateja baa ninalo ila sina pa kulisemea, wote ni ndugu moja. Jirekebisheni, ushindani upo. Haiwezekani mimi naenda bar naambuwa na baameid salio langu halisi. Vijana wa siku hizi sijui tunaenda wapi.
Wakati mwingine ni bora kukaa kimya kuliko kujidhalilisha.
Yule mama meneja pale amefariki ghafla alikuwa mtu safi.
mtu safi anaruhusu subordinates waombe rushwa ?