Sasa ivi wanakera zaidi,ATM zao wamejaza elfu 5 tupu,ukihitaji hata laki 5 tu,mpaka utuoe mara 3. Yaani laki 2 mara 2 na ya 3 utoe laki 1. Hii yote nikuongeza gharama zakutumia ATM zisizo lazima maana kila ukiomba pesa unakatwa. NMB jirekebisheni bado mapema