Jurrasic Park
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 3,831
- 6,878
BRO MBONA HATA HUKO KWENYE MIAMALA YA SIMU MAMBO NDO HIVIHIVI...........?Mabenki ni majizi mengine km majizi mengine tu
Habari
Tafadhali mods msiuunganishe huu uzi na ule wa kweny sticky kwa sababu ya sensitive
mwaka jana 2016
Personal A/C monthly charges ilikuwa ni Tsh 1600
ATM charges- kudraw pesa via atm ilikuwa 800
Kama una VISA CARD ILE YA TANZANITE kwa mwaka ni 8000
Mwaka huu 2017
Personal A/C monthly charges ni 1900
Atm charges- kudraw pesa ni 944
na VISA CARD kwa mwaka ni 9440
Kabla ya hapo ulikuwa ukidraw pesa na mwisho wa mwaka kuna hela kama shiling 144 ilikuwa inakatwa kam excise commission duty(sina uhakika) na nyingine kama 244 ilikuwa inakatwa.
sasa sijaelewa kwa nini gharama zinazidi kila mwaka.
nmb tunaomba maelezo hapa nini kimetokea
1600 + 288 (18%VAT) = 1888
800 + 144 (18%VAT) = 944
8000 + 1440(18%VAT) = 9440
Kote wanaiba....yaani ni shida....bora kuficha fedha chini ya vitanda tu...maana hamna mwenye huruma. Alafu wafanyakazi asubuhi utawakuta wanasali....sijui huwa wanasali kwa ajili ya niniBRO MBONA HATA HUKO KWENYE MIAMALA YA SIMU MAMBO NDO HIVIHIVI...........?
Hilo nalo jipu jipya toka kolomijeHalafu Kama serikali inaingiza salaries zetu benk basi igarimie na hizi charges sio ikatwe kwenye mishahara