Nmb East zone

Nmb East zone

Mangungu

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2012
Posts
2,405
Reaction score
3,061
Wadau interview ya Nmb Eastern Zone nasikia wameita tayari!!!

Mliopata kuitwa tupeni walau kipi kimejiri, ingawa nasikia mmeitwa watu 100 but nafasi ni nne tu!!

Du Kayumba Mimi sijui ntapata kazi ya maana lini!!!
 
Back
Top Bottom