NLD Makao makuu yako wapi?

NLD Makao makuu yako wapi?

Emmanuel Luoga

Senior Member
Joined
Oct 26, 2012
Posts
111
Reaction score
29
Habar zenu ndug mimi leo nauliza tu Ofisi za NLD zipo wap? Au hata kama mikoan niambien nina shida nayo sana hata kama una number ya mtu mwenye kujua more info kuhusu ofisi zao weka hapa kwa lengo la kunipa msaada
 
He he hee! Huyu jamaa Emmanuel Luoga atakuwa amegundua fursa fulani huko NLD, hasa kwa mgongo wa UKAWA. Nawahakikishieni, kuna maeneo itakuwa rahisi kupitishwa na UKAWA kugombea kwa tiketi ya NLD kuliko kwa tiketi ya CHADEMA, kwani NLD kinyang'anyiro kitakuwa na watu wachache kuliko CHADEMA, CUF na NCCR, ingawa pia wataachiwa majimbo machache!
 
haka kachama nako ni kweli ka upinzani na si tawi la ccm kama vyama vingine ukiacha cdm, nccr na cuf sema viongozi wake hawana pesa kikisambaza kueneza chama nikazi ngumu sana na inahitaji pesa nyingi sana ndio maana mi simpendi zito kutaka kuua cdm
 
Back
Top Bottom