mweeee! Ukute kaka aliondoka na ugonjwa wa siku hizi......
Yaani wewe uliniacha kwenye mataa valentine. Ngoja tuu.
hiv haya maneno yote yanamuhusu kakake Nicas Mtei amabye ni mume wake snowhite au? watu8 kwa usalama wa mkeo hebu muulize vizuri kuhusu hili kabla sijapadnisha mori wa kingoni na sijui kama anajua mori wa kingoni huwa unapandia wapi!kwa mwongozo tu wa kimasai unapandia miguuni kuelekea juu ndo mana wanaruka!sasa mnaweza kukaa kama kamati na muke yako ili nisipandishe mori kwa mujibu wa mafundisho ya bibi yangu!
cc @fp
ah mi wacha nijivalishe apron kuandaa chocolate!ulitokea sasa?
na walahi utailipa pakubwa!HAIWEZKANI!sio rahisi hivo lol!
na usipolipa nakusue!
hiv haya maneno yote yanamuhusu kakake Nicas Mtei amabye ni mume wake snowhite au? watu8 kwa usalama wa mkeo hebu muulize vizuri kuhusu hili kabla sijapadnisha mori wa kingoni na sijui kama anajua mori wa kingoni huwa unapandia wapi!kwa mwongozo tu wa kimasai unapandia miguuni kuelekea juu ndo mana wanaruka!sasa mnaweza kukaa kama kamati na muke yako ili nisipandishe mori kwa mujibu wa mafundisho ya bibi yangu!
cc @fp
apo umeniacha hoi moto2012..mwenzio wa kanda ya ziwa..ukoo mwanza..ss apo imetoka bilabila[/QUOTE
Hahahahahahah! Pole Mjukuu wangu, Mlimohla? Labda utapatia!!
Hivi unajua ili umkute mke wangu inabidi kwanza upite kwangu....sasa pandisha huo mori wako wa Kingoni ukutane na wangu wa Kinyaki+Kitanga hahahah...ukinishinda ndio utaweza kumgusa measkron....
Hahahahahahah! Mtani unataka snowhite apitie kwako au akupitie? Wangoni tuna inborn au natural mori, hatuna haja kupandisha kama wamasai bhana!!
kwa muda ss nimekua humu nikiwa mimi tu,na familia yangu mwenyewe ambayo ni mimi mwenyew...nimechoka na hali hii..naomba familia iliyo tayar kuni adopt umu kama ndugu (japo ule wa kuunga kwa manati)..viongozi wa umu wanaweza nisaidia ktk kunipatia familia mojawapo...(Mapenzi yao na yatimizwe,he he)..tabia yangu ni njema,haina mawaa kabisa..:A S angel:
hivi huyo jamaa yako mbabe kwenye topic hii hapa Usahuri wako unahitajika... atakuruhusu kweli kuwa adopted?
Senkyu kwa kutambua uwepo wa wafalme, machifu, kina nkosi na mamalkuia, katika tz ni sisi tu!!! Karibuni sana wajukuu!!Apitie na kupita kwangu kwanza teh teh teh!!! najua sana watani mmerithi mori ule wa kina Dingiswayo, Zwangendaba na Mputa Maseko.
nalimhola sn...jamahe?
Hahahahaha! Nimefumba macho nikafumbua, nimekuona upo giant halafu umenipigia goti, nakujibu 'nalimhola ghete!!!!
Hahahahaha! Chezeya mission wangoni wewe?!!!!!!
nalimhola sn...jamahe?
Hahahahaha! Nimefumba macho nikafumbua, nimekuona upo giant halafu umenipigia goti, nakujibu 'nalimhola ghete!!!!
Hahahahaha! Chezeya mission wangoni wewe?!!!!!!