Nkansi wana msimamo, ni kama Venezuela na Hugo chavez

Nkansi wana msimamo, ni kama Venezuela na Hugo chavez

Huyu mbunge namkubali sana kiukweli ingawa sijui jimboni kwake amewafanyia nini
 
Mhs.Kessi ni mtanganyika no 1....mmoja ya wabunge nnao wakubali kwa dhati
 
Kati ya wabunge ambao sikutegemea kabisa kwamba watarudi bungeni ni kessy mbunge wa nkansi lakini cha kushangaza ameshinda kwa ushindi wa tsunami, mweeeeeeee wafipa mweeeee
huwa namoenda huyu bwana kessy. Ingawa ana caveat ya kwenda znz
 
Kawatoa toka nyumba za nyasi sasa wanaezeka kwa makuti.
 
Nasikia watu wa fuko wana maisha mazuri sana hasa huduma za afya barabara na hata maji kwao si tatizo serikali iliwakumbuka mapema
 
Mkuu ndiyo maana nimesema ni kama Hugo Chavez wa Venezuela

Hii wilaya ni ya zamani sana haikuanza na Mh. Kessy. Naikumbuka Enzi za Mwanansao ambaye alikuwa Naibu waziri na pia Ndg Kinyonto ambaye alikuwa mbunge wa Sumbawanga.
 
Hii wilaya ni ya zamani sana haikuanza na Mh. Kessy. Naikumbuka Enzi za Mwanansao ambaye alikuwa Naibu waziri na pia Ndg Kinyonto ambaye alikuwa mbunge wa Sumbawanga.

Kwa hiyo mkuu unakubaliana na wanaosema ameleta maendeleo?
 
Back
Top Bottom