Nkansi wana msimamo, ni kama Venezuela na Hugo chavez

SUPER PREDATOR

JF-Expert Member
Apr 29, 2014
2,093
725
Kati ya wabunge ambao sikutegemea kabisa kwamba watarudi Bungeni ni Ally kessy mbunge wa Nkansi lakini cha kushangaza ameshinda kwa ushindi wa Tsunami.
 
Hao nao ndio wale wale Wilaya INA miaka30 haina maendeleo sio ya mji wala binadamu Nyumba za nyasi mpaka katikati ya mji wangemtangaza huyo Kessy Chifu wao badala ya mbunge
 
huyu ni miongoni mwa wabunge ninaowahusudu sio mnafiki na hajali kuwafuraisha au kuwaudhi watu kwanza alikuwa upinzani ana msimamo wa kipekee na ametanguliza maslahi ya taifa kwanza
 
Kessy ni mbunge pekee anayenifurahisha kila anaposimama kuchangia hoja.
Huyu mzee anavisa na wazanzibar mpaka utafurahi kuparuana na wabunge wazenji
 
Kessy ni mbunge pekee anayenifurahisha kila anaposimama kuchangia hoja.
Huyu mzee anavisa na wazanzibar mpaka utafurahi kuparuana na wabunge wazenji

Hahahahahahaha amewashinda hata wakina mama Fenella Mkangara na wenzake.
 
Hao nao ndio wale wale Wilaya INA miaka30 haina maendeleo sio ya mji wala binadamu Nyumba za nyasi mpaka katikati ya mji wangemtangaza huyo kessy Chifu wao badala ya mbunge

Hahahahahaha mweeeeee wakombeee
 
Ali Kessy, ni mtu wa msaada sana kwa watu wa Namanyere na Nkasi kwa ujumla wake tangu kuanzishwa kwa wilaya ile. Ndiyo maana wananchi wake wanamkubali. Binafsi nimeshuhudia mchango wake wa hali na mali tangu wilaya ikiwa inaanza. Ni muwazi na hana unafiki. BINAFSI NINAMKUBALI NA ANAWAFAA WATU WA NKASI ENDAPO WAMEMPA KURA AWAONGOZE.
 
Mkuu ndiyo maana nimesema ni kama Hugo Chavez wa Venezuela
 
Huyu amewahi kuwepo TLP na NCCR, so ana damu ya upinzani ndio maana utaona mawaziri wa CCM wanamuogopa
 
Back
Top Bottom